Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kulikua na mayor wa Tabora alikua anaitwa Ghulam Dewji alikua anamiliki Bodaboda 422(Mia nne ishirini na mbili) na zinaleta hesabu fresh,yaani hapo ndipo unajua kila mtu ana hesabu zake kichwani kwny mambo ya biashara.

Kuna mtu anamiliki pikipiki 1 tu lkn Kijana anamsumbua kuleta hesabu mpk anataka kuumwa pressure.
Jamaa alitisha
Maana vijana wa bdbd zaidi ya 400 kukaa nao mkaelewana si mchezo
 
Kiuharisia biashara inahitaji roho ngumu aina. Ila kwa hiyo hela yako hupaswi kupata faida hiyo kwa mwezi. Kama ni hivyo ikusanye hiyo M.300 yote wekeza kwenye hisa za mabank. Kwa pesa hiyo utakuwa unapata return ya si chini ya Milioni 25 kila mwezi. Na hapo hakuna wa kumlipa,wala hakuna pressure hata kidogo. Unakula hiyo ukiwa umetulia tu nyumbani.

Naitamani sana hii biashara,siku nikipata tu mkwanja mrefu lazima nijitupie huko
Usipende kudanganya watu mkuu
 
Daah hatari sana ngoja sisi tuendelee kujikongoja
 
Kitu ninachozidi kujifunza, watu wengi wanaamini kuanza biashara na mtaji mkubwa kwenye biashara ndio kupata faida kubwa kiuhalisia si kweli.

Biashara anzia mtaji mdogo kwanza huku unaendelea kuisoma kadri siku zinavyozidi unakuwa unaongeza mtaji kulingana na mahitaji ya wateja wako baada ya kuwasoma, na ukianza na mtaji mdogo ni rahisi kujifunza biashara ukiwa kwenye uhalisia kuna namna flani unapata mwanga au kuna fursa flani zinajitokeza ukiwa kwenye biashara moja itakayokufanya usonge mbele au uzidi kuwa imara .

Tuzidi kupeana moyo wapambanaji tuliochagua huu upande wakujiajiri.
 
Ila kuendesha biashara ni kugumu sana cc mzee alikua na kituo cha kuuza mafuta alipaliza kukikarabati t M/Mungu akamchukua ametuachia deni la kama 70m ivi ila daah huu ni mwaka wa 2 huu tumesua sua kulipa deni tumebakiwa na deni la kama 25m ivi ila mtaji umeenda kwa kweli biashar ni changamoto siku zote izo me cjawahi kuona faida ya ata sh 100 mpk mda huu kukiendesha kituo imekua ni changamoto kubwaa san kwetu cc 😭😭😭
 
Naona mwanzo tu. Kingine naona biashara yako ni risk free ungeingia kweny risk kubwa ungepata kikubwa mfano hyo pesa kweny madini unaweza kushika mara 3 kwa mwaka sema ni risk sana kuuziwa makapi ya madini au madini yaliyoungua na wajanja ,majambazi hata kuuliwa .
Inaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?
 
Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Ingependeza zaidi ungewafungua macho hao wasomi hali ya maisha ni ngumu sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Kwanza unapata gela nyingi hizo. Kuna Boss aliweleza 20bn akawa anapata faida 200M kwa mwaka. Alipata presha.

Maana 200M ndio matumizi yake yakawaida kwenye familia.

Hapa hawajakwambia waajiriwa kwenye vikoba na ujasiriamali. Unaweza kukuta duka unalitunza wewe kwa mshahara wako mwaka hadi mwaka.
 
Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Lori mkuu ili ikulipe endesha mwenyewe ila kumpa drive ni kichefuchefu balaa
 
Back
Top Bottom