Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kwa mtazamo wangu umeanza na mtaji mkubwa mno aisee, ni bora ungeanza kuscale biashara huku ikikua taratibu.
 
Kinachowaponza wengi kwenye biashara ni tamaa, kutaka kujiringanisha na A, badala ya kujikita kwenye mradi unaokuhusu.
 
Na hili akalitazame..
 
Kuna motivational speaker atakuja hapa atakwambia 'mimi nipe mil 10 tu nakupa faida ya mil 3.5 kila mwezi"
Wapo wengi ila hafanyi biashara na yeye anasubiri alipwe kwa kushauri wengine.

Anakwambia fanya bishara uwe bilionea. Anakupa na kitabu cha kusoma, kitabu hicho hicho anauza elfu tano au kumi.

Sasa unajiuliza mwenye ujuzi wa kuwa bilionea kwa mtaji mdogo ndio anatembeza vitabu vya elfu tano tano?
 
Hiyo hela huku kwetu sisi wazee wa forex unaidable kwa miaezi 3 tu
 
Vumilia mana mwez mmoja m mfupi sana kuconclude kwamba biashara ngumu
 
God bless thee!

Kuna selfish man mmoja kule kanda ya ziwa anafanya izi mambo na he wont share even an ounce of knowledge but look hapa nimepata madini si haba.

How long have you been in the field mkuu... Labda nikupe guiding vocabularies ili uflow vzuri zaidi in relation to the field...

from scratch adi kuwa level za ukonki ulipo.1. kota 2. Kuozesha kifusi 3. Etc etc yaani kiujumla all the things in that biz from a just a one hand hustler(small mpambanaji (limited by capital ofcourse)) to multilever fighter ( mtu iko na 300M) up can you try to give me a picture of that jungle
 
watu mnateseka sana wengine ml300 ndo ndoto zao anyway biashara gani mzee jenga nyumba za kupangisha za bei nafuu kama madarasa ya shule vyumba 12 nyumba itumie ml 20 x nyumba tano, kodi 40 elfu eans kwa mwez wapat 2.3 ml kwa uwekesaj wa ml 100
 
Hakuna hela ambayo haina pressure
 
Sasa wewe ni mfanyabiashara wa namna gani ambaye ndani ya 5M iko pia na mishahara ya watumishi?

Unaitaje faida pesa ya hivo?

Kwani Faida inatafutwaje?

Kuna walakini kwenye naration yako na hivo ushauri unakuwa vigumu kuutoa...!
 
Seriously ninachokwambia na hiyo 7m nimeweka minimum hela unaweza pata mpaka 10m kwa week kwa 300m.
Just Google novatechfx come
Soma then kama you need more information lemme know.
Hahahaaa!! Ofisi zao ziko Google?
 
300/2=150(miezi)
150/12=12.5(miaka)
300m ukitumia 2m kila mwezi utasavaivu 12.5yrs only.
Mkuu sijui umepigaje hesabu zako

Simple mathematics fanya hivi;

Mwaka mmoja una miezi 12, hivyo miaka 20 itakuwa na miezi 20 x 12 = 240
Kwa matumizi ya 2M kwa mwezi, hivyo kwa miezi 240 ni sawa na 240 x 2,000,000 = 480,000,000/-.

Hapo inabakia chenchi ya 20M kufikisha 500M. Hiyo chenchi itafunika gap la inflation. Hivyo unaishi zako maisha very decent for the next 20 years kwa 2M kwa mwezi bila stress kabisa. Matumizi ya kawaida ya 2M kwa mwezi ni matumizi ya maisha ya kibongo daraja la kati kabisa. Maisha safi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…