Mkuu sijui umepigaje hesabu zako
Simple mathematics fanya hivi;
Mwaka mmoja una miezi 12, hivyo miaka 20 itakuwa na miezi 20 x 12 = 240
Kwa matumizi ya 2M kwa mwezi, hivyo kwa miezi 240 ni sawa na 240 x 2,000,000 = 480,000,000/-.
Hapo inabakia chenchi ya 20M kufikisha 500M. Hiyo chenchi itafunika gap la inflation. Hivyo unaishi zako maisha very decent for the next 20 years kwa 2M kwa mwezi bila stress kabisa. Matumizi ya kawaida ya 2M kwa mwezi ni matumizi ya maisha ya kibongo daraja la kati kabisa. Maisha safi tu.