Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Acha uchoyo bana... Inner cycle,, !! Inner cycle ... Badala kuwapa watu mchongo umekazana na inner cycle. Tupe hizo deal tuzijue
 
Iyo income statement umepigaje mahesebu nakusema faida ila haujatoa expenses kama salaries;faida ni baada ya kutoa gharama zote ulizotumia kuingiza mapato
 
Boss wewe ni mhasibu mbona unavamia profession za watu, uyo jamaa kwanza ni muhongo iyo ni chai ametunga, hauwezi kufanya investment kubwa ivyo bila kuwa na mhasibu atakayepiga mahesabu vizuri kwa kufuata international accounting stanndards, formula fupi ya kupata faida ni sales-cost of goods sold-expenses =Net profit before tax
 
Sasa yeye anasema amepata faida na hajatoa salaries tangu lini profit inapatikana bila kutoa expenses zoteπŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%Γ—300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Hii bonds huwa inakuaje boss? Naomba elimu kidogo kama uko na ufahamu nayo
 
Hiyo 15% inavutia. Ya kweli??
Maturity period ya izo bond ni muda gani maana sio unatoa ushauri nusu nusu , kama sio financial advisor
Hiyo 15% inavutia. Ya kweli??
Boss umu jamii forum sio kila kitu unashangilia uyo jamaa anaongelea issue za gvt bonds hajui vizuri corporate finance wala financial management ,
 
Tatizo polisi lazima ukule nao faida.
 
Te

TeMbelea page

Kazingua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€jamaa katupa chai iyo mtu uwekeze 300M uje na thread ya kizembe ivyo na fupi kama text message, kuna kitu anawinda ampige mtu na kitu kizito
 
Mwekezaji utasemaje umewekeza mil 300 alafu faida mil 5 kwa mwezi alafu hapohapo unasema hujalipa wafanyakazi na gharama za kuendesha ofisi....FAIDA NI NINI?? Nadhani tatizo limeanzia hapo.
πŸ˜‚
 
Duuh...! Kama kwa mwaka haina haja. Yaani milioni 300 niwe nasubiria milioni 3 kwa mwezi mkuu. Mabank NMB na CRDB kitu kama wanafanya 9% kwa mwezi. Hebu ngoja waje hapa wajuzi wa hayo mabank
Maisha yako yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani CRDB wakupe 9%Γ—12 yani wakupe 108% ya hela yako mwaka mzima? Usijidanganye utashangazwa mjini hapa. Hio 9% labda mwaka mzima
 
Maisha yako yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani CRDB wakupe 9%Γ—12 yani wakupe 108% ya hela yako mwaka mzima? Usijidanganye utashangazwa mjini hapa. Hio 9% labda mwaka mzima
Bank labda kama ya babu yakeπŸ˜€πŸ˜€bank ni profit organisation ipo kumake doh sio kusaidia mtu , fixed account wanalipa pesa ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…