Hiyo pesa angeingiza huku wala asingekuja kuleta hili bandiko.Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Naomba unieleweshe kuhusu hii kituKwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
😂😂😂😂😂Unanunua magaun kila week kwa frank knows na iphone macho matatu😂😂😂
Na ndo maana zinakodishwa...Hizo ni theories tu ukishanunua ndio utagundua kuna watu wengi wako nazo na zimekaa benchi tu.
Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni? 😂😂😂
Unapeleka hela hio bank wao ni wakala wa bonds wanazinunua BOT wanawauzia wateja wao. Kiasi utakachoingiza kwenye bonds unakuwa unapewa gawio kwa asilimia kadhaa kila mwaka. Kwa sasa hao UTT ni 12% ya hela yako kwa mwaka. Bonds ziko miaka tofauti kuanzia 10-15-25 wewe tu utataka hela yako ikae muda gani.Naomba unieleweshe kuhusu hii kitu
Yani hilo ni dunia nzima, una option 2, ukwepe kodi au ufanye smuggling ndio utapata mafanikio ya kutisha kwenye biashara au uwe na mtaji mkubwa sana ili baada ya kuondoa expenses faida ibakie kubwa.na ndio maana ili uwe na biashara yenye mafanikio, lazima uwe kwenye mtandao wakukwepa kodi, kufanya magendo,
Tatizo biashara za magari risk kubwa sanaHiyo pesa angeingiza huku wala asingekuja kuleta hili bandiko.
Hapo ukipata gari 5 za 60 mln una uhakika wa kulaza 15 kila mwezi na hapo umetoa malipo yote.
Kikubwa uwe makini na madereva na gari siku zote iwe na bima kubwa.Tatizo biashara za magari risk kubwa sana
Bado ni hela ndefu sanaHela hiyo ikukute huna majukumu ya ada sijui ujenzi ndio utafurahia sana na mpenzio
Inategemea ada gani mrembo. Kuna shule ada mil 60 kwa mwakaBado ni hela ndefu sana
Ada inalipa,ujenzi unakuwa ushamaliza.
Huwezi kushika hela ndefu hivyo halafu usiwe umejenga.
BAKI unashangaa tu mjini hapaaa... kama kuna bisahra inalipa ukitoa madawa ya kulevyaaa kuzidi DAWA ZA BINADAMU njooni mniueeeDawa za kienyeji au
Hii trend ya matajiri kufunga biashara na pesa kupeleka bot bond iko moto sana. Hata Shabiby alishawahi kulisema bungeni.Huyo jamaa atakuwa anakula ndefu sana mkuu, hebu imagine mtu ana 20B halafu wakupe 12% tu ni hela tamu kiasi gani?
12%×20,000,000,000 aisee dunia ni tamu ukiwa na hela ndefu. Imagine 2.4B kila mwaka wastani wa hela ya kila mwezi ni 200M! Hivi kila mwezi niwe naingiziwa million 200 nina haja gani ya kupasuka kichwa na TRA sijui uja file returns mara sijui ujinga gani.
Na ndio maana BOT wameshusha rates maana ni noma yani, matajiri wengi wamehamishia mitaji huko.
2B kwa mwezi unaingiza sh ngapi mpaka aweze kuwapa 4mil watoto 7????Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!
Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
2.5B kwa rate ya 15% unapata 31,500,000 kwa mwezi. It divides to 4.5M kwa kila mtu2B kwa mwezi unaingiza sh ngapi mpaka aweze kuwapa 4mil watoto 7????
Mwanangu ada ya mil 2 tu inatoshaInategemea ada gani mrembo. Kuna shule ada mil 60 kwa mwaka
noma sanaa mkuuu... kweli umaskini umejitakiaaa2.5B kwa rate ya 15% unapata 31,500,000 kwa mwezi. It divides to 4.5M kwa kila mtu