Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Hiyo pesa angeingiza huku wala asingekuja kuleta hili bandiko.

Hapo ukipata gari 5 za 60 mln una uhakika wa kulaza 15 kila mwezi na hapo umetoa malipo yote.
 
Huyo jamaa atakuwa anakula ndefu sana mkuu, hebu imagine mtu ana 20B halafu wakupe 12% tu ni hela tamu kiasi gani?

12%×20,000,000,000 aisee dunia ni tamu ukiwa na hela ndefu. Imagine 2.4B kila mwaka wastani wa hela ya kila mwezi ni 200M! Hivi kila mwezi niwe naingiziwa million 200 nina haja gani ya kupasuka kichwa na TRA sijui uja file returns mara sijui ujinga gani.

Na ndio maana BOT wameshusha rates maana ni noma yani, matajiri wengi wamehamishia mitaji huko.
 
Naomba unieleweshe kuhusu hii kitu
Unapeleka hela hio bank wao ni wakala wa bonds wanazinunua BOT wanawauzia wateja wao. Kiasi utakachoingiza kwenye bonds unakuwa unapewa gawio kwa asilimia kadhaa kila mwaka. Kwa sasa hao UTT ni 12% ya hela yako kwa mwaka. Bonds ziko miaka tofauti kuanzia 10-15-25 wewe tu utataka hela yako ikae muda gani.

Hio miaka ikitimia unapewa hela yako kama ilivyo kama uliweka 200M utakabidhiwa bila kupunguzwa hata sent 5, hamna mambo ya makato kwenye bonds unakula faida kama ilivyo.
 
na ndio maana ili uwe na biashara yenye mafanikio, lazima uwe kwenye mtandao wakukwepa kodi, kufanya magendo,
Yani hilo ni dunia nzima, una option 2, ukwepe kodi au ufanye smuggling ndio utapata mafanikio ya kutisha kwenye biashara au uwe na mtaji mkubwa sana ili baada ya kuondoa expenses faida ibakie kubwa.
 
Huyo jamaa atakuwa anakula ndefu sana mkuu, hebu imagine mtu ana 20B halafu wakupe 12% tu ni hela tamu kiasi gani?

12%×20,000,000,000 aisee dunia ni tamu ukiwa na hela ndefu. Imagine 2.4B kila mwaka wastani wa hela ya kila mwezi ni 200M! Hivi kila mwezi niwe naingiziwa million 200 nina haja gani ya kupasuka kichwa na TRA sijui uja file returns mara sijui ujinga gani.

Na ndio maana BOT wameshusha rates maana ni noma yani, matajiri wengi wamehamishia mitaji huko.
Hii trend ya matajiri kufunga biashara na pesa kupeleka bot bond iko moto sana. Hata Shabiby alishawahi kulisema bungeni.

Shabiby alishawahi kulisema bungeni sikiliza Kuanzia dakika ya 8

Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!

Mie nikipata 1B tu ujue im never going broke again! Yote ni BOT na sitaki shida tena na mtu nakula gawio langu tu
2B kwa mwezi unaingiza sh ngapi mpaka aweze kuwapa 4mil watoto 7????
 
Back
Top Bottom