🤣🤣🤣🤣🤣hawajaenda shule lakini wanaelimu ya Biashara na ulozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣hawajaenda shule lakini wanaelimu ya Biashara na ulozi.
Wahindi wabongo wanafanya Sana hii kitu wakishapiga pesa zetu,pesa Ina kuwa na uhakika ikiwemo kurithisha kizazi na kizazi nyie mnachukua ile faida tu ndo mnafanyia biashara.Unayama sana
Hizo ni theories tu ukishanunua ndio utagundua kuna watu wengi wako nazo na zimekaa benchi tu.Mkuu equipment ni hitaji kubwa sana angalia miradi iliyotangazwa TANROADS na TARURA wenye equipment ni wachache sana hapa nchini
Umeamua kuipa likizo akiliMilioni 300 ukiamua kuitunza na kutumia kila mwezi 2M maana yake utakula maisha bila stress kwa miaka 20 ijayo. Sijui umri wako ila kama umri pia umeenda, kwa next 20 years maana yake utakuwa umekaribia kumaliza siku zako za kuishi. Kuja pesa ikakata, na wewe siku zako zinakuwa zinaelekea kukata. Yaani hapo ni kula 2M kwa mwezi bila stress za hii dunia. Maisha ya hapa Duniani ni kuchagua tu, maana utajiri hauingii nao kaburini. Kwanini kujipa stress ufe mapema?
Amen amen bro!!God bless thee!
Selfishness is a form of immaturity, we you get to grow, one thing you understand is that maturity is all about helping others. Naamini kila mtu (including me) at a certain point in life alisaidiwa na mwingine, sasa kama watu wote wangebaki selfish na kile walichonacho duh sijui tungekuwa wapi wengine.[/QUOTE]Kuna selfish man mmoja kule kanda ya ziwa anafanya izi mambo na he wont share even an ounce of knowledge but look hapa nimepata madini si haba.
It's about 3 years now.How long have you been in the field mkuu... Labda nikupe guiding vocabularies ili uflow vzuri zaidi in relation to the field...
Ntajitahidi kueleza kwa kifupi lkn kwa ufasaha pia;from scratch adi kuwa level za ukonki ulipo.1. kota 2. Kuozesha kifusi 3. Etc etc yaani kiujumla all the things in that biz from a just a one hand hustler(small mpambanaji (limited by capital ofcourse)) to multilever fighter ( mtu iko na 300M) up can you try to give me a picture of that jungle
Nahisi uliweka sehemu kubwa ya hela ulio nayo. Biashara inatakiwa kukua kidogo kidogo. Hupaswi kuweka mtaji wote kwenye biashara ambayo bado hujui cash flow yake.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Mtaji kiasi gani kwenye hii biashara maana najua warembo tutawapata tuu wakuwauzia
Ongea hapa boss..Ndugu yangu Manzile njoo inbox nikufundishe jambo, hutawahi rudi tena hapa ukilalama, chukulia ujumbe wangu serious
Fafanua jamaniMkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Mmiliki wa ma-bus ya Princess Muro yeye alikamatwa kwa kujiunganishia bomba la mafuta Kule bandarini(TPA),Mmiliki mwingine wa ma-bus ya Arusha-Dar alikamatwa akiiba tairi za mabus kwny stoo ya watu huko na kumbuka huyo mtuana mabus zaidi ya 20 na kila siku yanaingiza pesa.
Sumri alisema sababu mojawapo ya sababu ya biashara ya mabus kumshinda ni wkt wewe unanunua Mafuta kwa Bei ya soko kumbe wenzako wanajua wanayoyapatia.
Au wewe unaenda kununua tairi za mabus yako kumbe wenzako wanaiba tu stoo.
So point ya msingi Ni biashara yoyoye ile Ni tamu kuisikia tu,Ila siri ya urembo Ni ukiingia Field ndipo utajua.
AcceptedRatio ya mtaji haipaswi kuwa 5m tu. Walau angepiga 20+ Ingeendana.
With no stress at allYeah gawio linakuwa 36M kwa mwaka, hii hela inatosha kulisha familia, kusomesha na kujazia wese bila stress huku uko kazini kwako.
Tena hapo haulipi kodi wala pango kwa ajili ya fremuKwahio hela kuchoma account forex ni majaliwa😂😂😂 hata akifungua position 10 za gold kwa lot size ya 3
Kweli kabisa mkuu.Wakusikia na asikie
Faida kubwa za haraka (chap chap). Hii ndio ipo akilini mwa watu wengi wanaofanya biashara au kutaka kuingia kwenye biashara.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Mkuu humu si sehemu salama ya kuomba ushauri kuna baadhi wapo real kweli na wanaongea na kushauri kutoka moyoni but kuna watu wa kuvunja moyo.. hivyo sidhani kama itakua vyema ww kureveal biashara unayofanya..Tuweke mambo sawa, maana naona wajuaji wamekuwa wengi kidogo.
Huu mtaji niliowekeza sio kwamba nimefeli japo mambo yamekuwa kinyume na matarajio yangu.
Lengo langu lilikuwa kuwekeza mtaji zaidi ya huu, huu ndio mwezi wa wangu wa kwanza kwenye biashara naendelea kuona mavuno ya mtaji nilioweka Ili niamue kuongeza mtaji au la.
Nimeshindwa kufunguka zaidi baada ya kuona kuna ujuaji mwingi Tena Kwa watu ambao hata biashara hawaijui. Kila nyuzi wao wanajua ni uongo wa kutunga au chai, wao wakiona nyuzi ya 300m+ wanajua ni story za kusadikika
Anyway tuwe na usiku mwema, na niwaombee muwe na mapambano yenye baraka
Siku zote mwanzo huwa mgumu.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Kuna mtu aliuza ukumbi mbezi beach pamoja na plot ya barabarani akajumua na duka kariakoo akafunga biashara, alitengeneza kama 2.5B hivi yote akaipeleka BOT, ana watoto 7 hela anayogawana nao, yeye na kila mtoto anapata 4M kwa mwezi bila kutoka jasho kwa namna yeyote 😂😂😂! Anachofanyana sahizi ni jogging, gym na kula vizuri tu akicheza na wajukuu😂!Kweli kabisa mkuu.
Nilifahamu huu uwekezaji kwa kuchelewa lakini ni afadhali kuliko nisingejua kabisa.
Mambo ya kujenga nyumba ya kupangisha unaanza kusumbuana na wapangaji kuhusu kodi ya pango, mara kodi ya zuio, property tax unaachana nayo...!