Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Sahihi kabisa mkuu,Kuna Siri nyingi Sana nyuma ya hizi biashara.
 
Mdau,

Nimwkuta comments ni nyingi nimeshindwa kupitia zote kwa wakati mmoja.

Sijui kama umeelezea aina ya biashara ambayo umefanya uwekezaji huo?

Kama haujaelezea , Basi Pengine ungeelezea, aina gani ya biashara ambayo umefanya huo uwekezaji,
Naamini wapo watu ambao watakusaidia kwa mawazo na njia sahihi za biashara husika.
 
Sasa hivi ni kukimbilia Kenya Wana Bonds tamu sana.


Dunia kwasasa ni kijiji watanzania acheni kulia Lia nendeni mkawekeze nje
 
Hii trend ya matajiri kufunga biashara na pesa kupeleka bot bond iko moto sana. Hata Shabiby alishawahi kulisema bungeni.

Shabiby alishawahi kulisema bungeni sikiliza Kuanzia dakika ya 8

Hizi ndio akili Watanzania tunaweza Yani kila kitu tunakichukulia Negative, watu wanafunga biashara Kwasababu ya Sera mbovu za biashara na sio Kwasababu ya Bonds za Bank kuu.

Duniani kote Nchi zote Zinaopa hela Kwa raia wake kupitia Bank kuu zao. Kwanini tanzania ionekane ni Nongwa.

Kibaya zaidi mkikataa Watu wasinunue bonds hapa Tanzania kuna nchi kama kenya watu wataenda kununua Treasury Bonds | CBK
 
Kuna boss wangu mmoja alikua ananiambia na kunisihi sana 'ukitaka kufanya biashara na upate faida inabidi uwe katiri yaani ujikatiri wewe mwenyewe hadi wanaokufanyia kazi wafanyie ukatiri..' ukitiatia huruma soon unaingia mufilisi unafirisika unaanza kugongea gahawa kwenye vijiwe vya kahawa punguza huruma boss Biashara sio ibada

Imeandikwa:
Tajiri kwenda mbinguni ni sawa na ngamia kupenya kwenye Tundu la sindano

Yaan 'Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu'

Tia huruma ufirisike
Kaza kibishi utajirike

Choose one

Jiongeze
 
Shabbiby kazingua wangeacha tu 15% watu wachukue bonds maana huko biasharani zimejaa kero tu
 
Kweli ukiwa na roho ya imani biashara hutakaa uiweze😁😁😁 hilo nakiri
e
 
Daaah mm mtupu. Nilikua kama ww mwanzo mwa bznes zangu. Ila bznes ikifikisha miaka 5 n kuendelea. Inakua kawaida tu unardi kua normal.
 
Huna hiyo pesa wewe acha shobo. Huwezi kumiliki zaidi ya 300m ukashindwa ku manage business. Afu wenye pesa hawanaga maneno mengi.
 
Jf kila mtu ni billionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…