Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Kwa hii faida ya five milioni maana yake kitaalam ni kwamba return on investment (ROI) ni baada ya miaka mitano(5)
Hapa nazungimzuia cumlative cash flow
Kwamba kwenye hio miaka mitano biashara haitakua. Kumbuka kasema ndio kwanza ameanza.
 
Its real wala si utani ningeweza kukutumia documents za import kama BL, INVOICE, RELEASE ORDER sema tu hapa sio salama.
Mimi nakubaliana na wewe uko sahihi Kwa asilimia kubwa,niko space ya clearing and forwarding pia nimefanya sana hizo kazi za clearance Kwa ajili ya used garments it's true hao Jamaa wanao import wanapiga faida ya kufa mtu
 
Atajulia wapi huyo mdangaji amezoea kushika Mashine za wanaume badala ya pesa.
Broo pesa haitaki mbwembe me nimeanza kushika pesa hujazaliwa . Kuna code zikitumika unajua huyu mzinguaji na kuna code zikitumika unajua huyu ana pesa. Mdogo wangu mtu ukishika pesa unakuwa na roho ngum huwezi kuja kulialia apa Jf nakutaja pesa ulizonazo, for what. Mkikuwa mtaacha lakini
 
Unaonekana Una stress Sana za maisha utakufa Kwa mawazo danga hata hapo mtaani kwenu [emoji1][emoji1]
Mdogo wangu maisha ni tofauti na mnavyoyachukulia mkiwa vijiweni na vyuoni kwenu. Kwa sasa hamuwezi kunielewa kwa utoto na akili mlizo nazo kwa Sasa. Sijisifii ila nimewahi shika pesa zaidi ya hizo nina watu 2a karibu wenye pesa. Kuna kitu unakiona kwa mwenye pesa kuanzia uwezo wa ku solve challenge na hata matumizi ya muda . Sasa mtoa mada kila muda yupo Jf afu anatujaza na pesa zaku buni. Sema nawapa udhuru wa utoto, mkikuwa mtaacha.
 
Soma kidogo hapo mkuu patakusaidia
 
Mpaka hapa ndo nathibisha kuwa bado malimbukeni. We kuwa sh ngapi ulizonazo kuita watu maskini. Unahisi una miliki nini ambacho sina.? Kuna kauli huwezi kuziskia kwa mtu mwenye akili timamu ikiwemo hiyo. Mdogo wangu pesa inahitaji heshima pesa inahitaji kifua. Huwezi kumkuta tajili yeyeto duniani anaejiona kafika kila mmoja anijichukulia yupo chini ispokuwa walio nyuma yake ndo wanamuona ana pesa. Utakapokuwa na mitazamo aina hiyo tayari umeanza kufeli
 
Hajadanganya B love ni kweli amefanya huo uwekezaji. It's Genuine bonafide,
 
Na zile Sera za uhujumu uchumi za Mzee magufuli ziliwatia presha na stress Sana mabwenyenye WA kitaa [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064],nadhani unaukumbuka Ile Moto WA uhujumu uchumi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nakubaliana na wewe uko sahihi Kwa asilimia kubwa,niko space ya clearing and forwarding pia nimefanya sana hizo kazi za clearance Kwa ajili ya used garments it's true hao Jamaa wanao import wanapiga faida ya kufa mtu
Sasa kwa mtu mwenye mtaji kama huo wa jamaa akiingiza hela mule ni ndani ya miaka miwili watu wanaweza kumuita freemason😂!

Atapiga hela ambazo hajawahi piga duniani...
 
Na zile Sera za uhujumu uchumi za Mzee magufuli ziliwatia presha na stress Sana mabwenyenye WA kitaa [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064],nadhani unaukumbuka Ile Moto WA uhujumu uchumi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha unaona kabla hajakupora bora uziingize kwenye safe yake.
 

Huyu atakuwa mchawi[emoji1438]‍♀️[emoji23][emoji23]
 

Hii si inategemea na location boss?
 
We acha tu boss..
Mie kuna mda nakosa usingizi kabis, mapigo ya moyo yapo juu...
Ila inabidi tu tukomae..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kama mazuri mana na mimi niko kwenye hali hiyo hiyo.
 
Mbona wewe unasema umewahi kushika na unalialia humu jamii forum.

Elon musk Tajiri namba moja duniani tunakesha nae Twitter analialia sembuse wewe choka mbaya
 
Acha Ujinga wako wewe Nenda kwenye account za Elon Musk Tajiri namba moja duniani anashinda Mitandaoni na anapost kila siku.

Ina maana hao ndugu zako matajiri wasioshinda Mitandaoni Wana hela zaidi ya Elon ?

Kushinda Mitandaoni sio baseline ya kujua MTU ni Tajiri au sio Tajiri njoo n sababu zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…