- Thread starter
- #621
Kutaka kujua namna nilivopata pesa haitokusaidia kitu kwenye maisha yako.Anatupanga tu kk. Nimemuuliza hizo m300 amezipataje? Ni za urithi, ni mikopo au za wizi? Hajajibu. Ni kiwa na maana kama ni za hustle huwezi anza na laki kadhaa, tukafika m kadhaa then ukashindwa ku manage business ya 300. Coz mpaka unafika huko ushakutana na changamoto km zote na ukavuka na ushakuwa na connection yakutosha na ideas za biashara ndo usiseme so ht ikifell unajua uanzie wapi ku solve Sasa huyu hata hajui kakwama wapi afu anajikuta billionaire duh! Come on Jf.
Unatakiwa ujue kwamba ukiwa kwenye chain ya kupata Hela hiyo 300m ni Hela ndogo kuliko unavyoidhania.