Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Anatupanga tu kk. Nimemuuliza hizo m300 amezipataje? Ni za urithi, ni mikopo au za wizi? Hajajibu. Ni kiwa na maana kama ni za hustle huwezi anza na laki kadhaa, tukafika m kadhaa then ukashindwa ku manage business ya 300. Coz mpaka unafika huko ushakutana na changamoto km zote na ukavuka na ushakuwa na connection yakutosha na ideas za biashara ndo usiseme so ht ikifell unajua uanzie wapi ku solve Sasa huyu hata hajui kakwama wapi afu anajikuta billionaire duh! Come on Jf.
Kutaka kujua namna nilivopata pesa haitokusaidia kitu kwenye maisha yako.

Unatakiwa ujue kwamba ukiwa kwenye chain ya kupata Hela hiyo 300m ni Hela ndogo kuliko unavyoidhania.
 
Kutaka kujua namna nilivopata pesa haitokusaidia kitu kwenye maisha yako.

Unatakiwa ujue kwamba ukiwa kwenye chain ya kupata Hela hiyo 300m ni Hela ndogo kuliko unavyoidhania.
Acha ulimbukeni mwenye pesa kwanza hana akili kama zenu mbuzi nyie
 
Moja ya sifa za masikini ni wivu na hasira za kijinga
Shida ya mjinga huongea ujinga na kulazimisha ukubarike. Broo sifa ya kwanza ya mtu mwenye pesa ni kukomaa kiakili. Ila watoto wa vyuo mlojifungia ndani kipindi hichi cha likizo mkila bure na kupiga master ndo mnatusumbua mitandaoni.

Huwezi pata Billionaire mwenye muda mwingi wa kupost, ku like na ku comment ujinga kama huu .
 
Risk ipoje, na inachukua muda gani hadi kupata mzigo toka uagize?
Muda ni mwezi hadi mwezi na nusu. Sema yeye anaagiza frequently sababu ana mtaji. Kwahio nguo haikati yani full time mzigo upo na haagizi container moja saingine anaagiza hata 5 at a go! Zikija nyingine zinaenda Transit nyengine zinabaki Dar.
 
Vipi risk ya kuletewa mzigo mbovu?
Unanunua kwa Grade mfano yeye anaagizaga grade A.

So likely ya kukuta nguo mbovu ni ndogo sana. Na yeye akija lazma afungue kisha afunge mzigo upya ana mashine kabisa ya ku re-pack mzigo upya kisha anaweka label zake.

Ukinunua mzigo wake huwezi kukuta nguo sijui imetatuka au ina tobo wala viatu vya upande mmoja.
 
Tembea uone ndugu Acha kukaa chumbani kwako ,

Kuna watu migodini wanaotea milion 500 na WAnataka watoke machimboni Mazima waje mtaani.

Kuna watanzania wameajiriwa nje ya nchi na mikataba imeisha wanarudi na milion 600 kwenye account.

Kuna wabunge wanastaafu Wanapewa kiinua mgongo cha milion 300+ na hawajui wafanye nini


Wewe endelea kuishi Manzese Kwa mfuga mbwa hujui yanayoendelea duniani.
Haamini kama kuna raia wana hadi Billion na hawajui wazifanyie nini?
 
Shida ya mjinga huongea ujinga na kulazimisha ukubarike. Broo sifa ya kwanza ya mtu mwenye pesa ni kukomaa kiakili. Ila watoto wa vyuo mlojifungia ndani kipindi hichi cha likizo mkila bure na kupiga master ndo mnatusumbua mitandaoni.

Huwezi pata Billionaire mwenye muda mwingi wa kupost, ku like na ku comment ujinga kama huu .
Hatufahamiani Sina haja ya kujibu chochote, Cha msingi pambana maisha yako yafanikiwe Ili uachane na makasiriko
 
Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Logistics walau ila kwenye tender za ujenzi unaweza kula hasara ukabaki mbupu tupu.
 
Ila jamii forum bna..eti mtu anasema tu chukua tender fanya logistics utatoka,tender gani unaipata kirahisi kam ulivyoandika ushajua payment yake inachukua muda gani,mara chukua scania itakupa usd 3500,apo hujaondoa bima services wala posho ya dereva
Mwingne anakwambia nimeweka phamarcy 20M nachuku 3M,wakati huo mtu unaemshauri hajui ata panadol zinauzwa wapi kwa jumla na vibali vyake..mwingne anakwambia weka plant ya kusafisha madini wakati huo hujamueleza ushuru wa halmashauri,NEMC na kuna OSHA,kuna WANASHERIA,gharama za hyo plant na kuisafisha...

USHAURI:tafuta biashara unayoipenda saana ifanyie research kwa muda mrefu (ikiwezekana tafuta mtu aliyefanya ingia kwake ata bla malipo,jaribu kuwa mfanyakazi kwa muda flani)utajua ufanye nin?
Kuna connection,kuna madalali na blaa blaa kibao.. Kiufupi hakuna kitu rahisi.
 
Kwa hii faida ya five milioni maana yake kitaalam ni kwamba return on investment (ROI) ni baada ya miaka mitano(5)
Hapa nazungimzuia cumlative cash flow
Hapana itakuwa zaidi ya miaka mitano. Kumbuka hajatoa mishahara kwenye hiyo 5M. Kwa kifupi whatever this guy is doing it's a bad investment; aache mara moja kabla hajalia
 
Back
Top Bottom