Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Watu wanachanganya sana kati ya
aina za Uwekezaji, Biashara ,Kuajiriwa na kujiajiri...!

Sio kila Biashara ni Biashara, nyingine ni ajira (kujiajiri) tu
imagine umejiajiri hujilipi mshahara ,huna likizo,huna bima , hujilipi mshahara unaoeleweka
Watu wanatudharau ambao tumeajiriwa eti tunakuwa watumwa. Inategemea na ajira yenyewe jamani. Mtu unalipwa net salary kuanzia 5 m na kuendelea , hapo unalipiwa bima ya afya, mshahara wa likizo, NSSF etc. Kwa ambao hatutaki kukopa bank ajira zinasaidia kukusanya mitaji na kufanya biashara huko ukiendelea kula mshahara wako
 
Haipaswi kudharauliana ...kwakweli mana kujiajiri na kuajiriwa kuna faida na hasara respectively
 
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.

Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.

Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.

Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Tatizo wewe hujui elimu ya biashara.
Biashara ni kipaji kama ambavyo watu wanavipaji katika issue zingine. Tukubaline tukigrade talents kuna best mpaka worst katika kila talent. Na ukubali tu wewe sio talanta yako biashara.

Sio kisa una 300m unawekeza sehemu ambayo haihitaji uwekezaji wako. Tuliokulia katika biashara huwa tunasema hakuna biashara mbaya Dunia, tatizo biashara yako umeweka sehemu sahihi?

Nikupe pole sana faida unayoipata kwa wastani huzalishwa na mtaji wa 30m.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Siku nyingine ukipata hiyo 300mil unitafute kamwe hutojutia kuiwekeza nitakacho kushauri.
Nb.kama hutaki stress za maisha wekeza kwenye ardhi. Na sio kila ardhi ni ya kuwekeza, tunaangaliaga sehemu na sehemu unaweka pesa zako unakaa kimya, wenye pesa wanakutafuta wenyewe.

Polee, kwakuwa ushaanza usikate tamaa kipindi hiki pesa hakuna, hata na matajiri wakubwa siku hizi wanasuasua, wanasema hela imekuwa ngumu, haka ka upepo katapita utasimama.
Hapo kwenye ardhi fafanua bhac mpendwa ...kuwekeza how ...coz kuna wigo mpana sana hapo.....
A) Kununua ardhi na kusubiri ipande thamani
B) Kilimo
C).......
D).....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama

Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???

khee nmejiuliza hii kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho ndio nikaelewa unatumotivate[emoji38][emoji38][emoji38] eti ukiuza gari 3 kwa mwezi una beingani??? nikasema biashara ganinhii nzuri ivi imenipita[emoji23][emoji23]
 
Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu

Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Kabisa mzee mwenzangu wa forex..

Mimi nikipata hiyo milioni 300 ambayo ni sawa na dola 120,000 kila mwezi ntakuwa natengeneza dola 40,000
 
khee nmejiuliza hii kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho ndio nikaelewa unatumotivate[emoji38][emoji38][emoji38] eti ukiuza gari 3 kwa mwezi una beingani??? nikasema biashara ganinhii nzuri ivi imenipita[emoji23][emoji23]
Eeh lazma uchangamshe ubongo
 
Hapo kwenye ardhi fafanua bhac mpendwa ...kuwekeza how ...coz kuna wigo mpana sana hapo.....
A) Kununua ardhi na kusubiri ipande thamani
B) Kilimo
C).......
D).....

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea ardhi ipo sehem gani, kuna sehem zinafaa real estates etc.

Nb usije nunua ardh ya kama mil 300 ukaweka kilimo utasaga meno.
Hapo kwenye ardhi fafanua bhac mpendwa ...kuwekeza how ...coz kuna wigo mpana sana hapo.....
A) Kununua ardhi na kusubiri ipande thamani
B) Kilimo
C).......
D).....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanjaa kama kiko barabarani sehem nzuri wawekezaji wa shell za mafuta lazima ule pesa zao.

Au kiwanja kipo ushuani basi ule pesa za matajiri wasiopenda kuishi changanyikeni.

Au kujenga ma Godown. Yanahitajika sana. All in all inategemea kiko wapi na kinafaa kwa matumizi yapi.
 
Mi nimemwambia anipe ml 30 tu nimletee 8 per month only 30 ml nitakuwa namletea retun as a profit ya 8 to 9ml hii si uchawi wala ndumba mzee ninachomwambia nina uhakika nacho na ndo biashara ninayoifanya kwa sasa sema kidogo mtaji wangu bado ni mdogo bt nimuhakikishie uyo jamaa kwenye biashara ninayoifanya mimi kama angewekeza iyo 300ml basi kwa mwezi faida yake baada ya kukata gharama za uzalishaji angekuwa anachukua 40 to 50 ml hii si uchawi wala ndumba naongea kitu ninachokifahamu coz mimi ndo iyo biashara nafanya sema ngoja kwanza niukuze mtaji siku moja nitarudi katika huu uzi na mrejesho mzuri juu ya uyu ndugu

Kanuni ya mjasiriamali mi moja tu wazee biashara yenye risk kubwa ndo inafaida kubwa mno na biashara yenye risk ndogo ujue na faida yake itakuwa ni ndogo sana ssna
Siwez kumuamini mbongo Kwa hizi story Kwa nilivyotapeliwa
 
Inategemea ardhi ipo sehem gani, kuna sehem zinafaa real estates etc.

Nb usije nunua ardh ya kama mil 300 ukaweka kilimo utasaga meno.

Kiwanjaa kama kiko barabarani sehem nzuri wawekezaji wa shell za mafuta lazima ule pesa zao.

Au kiwanja kipo ushuani basi ule pesa za matajiri wasiopenda kuishi changanyikeni.

Au kujenga ma Godown. Yanahitajika sana. All in all inategemea kiko wapi na kinafaa kwa matumizi yapi.
Upo sahihi kabisa, ila najiuiza kiwanja cha barabarani kwa sasa unakipata kwa bei gani, yaani nafikiria barabara kama goba-madale-wazo, sioni wapi utapata eneo la barabarani kwa bei ya kawaida, au mbezi-kinyerezi-segerea, kifupi 300m kupata kiwanja barabarani ili uvizie wateja wa kujenga filling station au godown ni ndogo. Niko tayari kukosolewa.
 
Weww akili huna mzee kama unayo iyo ml 30 njoo tiandikishane mbele ya wana jf wenzetu wewe unikopeshe iyo ela alafu baada ya miezi 6 ya uzalishaji wewe mwenyewe utarudi apa kutoa ushuhuda mavi mmoja wewe laa sivyo kama huna izo ela ninazozungumzia basi piga kimya na sio kuleta ujuaji kwenye kila jambo mimi ninachokiongea nakijua na biashara ninayoiongelea mimi ndo naifanya ni vile tu mtaji wangu bado ni mdogo sana lakini potentiala ya iyo pesa ipo kama unayo njoo unikopeshe mzee kisha kaa nyumbani baada ya miezi minne ya uzalishaji uanze kula ml8 kila mwezi mzee wangu wala usiogope tuandikishane popote pale mahakamani kwa wanasheria mbele ya wana jf ama nini mind
kwa nini usikope benki kama hiyo biashara inalipa sana?
 
Mzee kwanza unayobiyo ela ama unajiongelesha tu apa kujifurahisha kama unayo na unahitaji biashara kweli nitafute tutae chini tukubaliane tuandikishane tuweke makubaliano alafu mwezi mmoja ni grace period lakini mwezi wa pili unaanza kupokea kiasi tutakachokubaliana bila wasi wasi mzee wangu na wewe mwenyewe utarudi apa jukwaani kutoa ushuhuda mzee ninachokwambia nakijua na ndo biashara ninayoifanya ila mimi mtqji wangu bado ni mdogo sana ndo najikusanya kuangalia kimtaji changu kikue mkuu ila kama unayo iyo ela na ungependa kuiwekeza basi iwekeze kwangu serious hutojutia naongea kitu nachokijua ila wewe wa mzee
Sio forex kweli hii
 
Back
Top Bottom