Hizo mbona nyingi sana hata USD 15,000 tu kitozi.Kabisa mzee mwenzangu wa forex..
Mimi nikipata hiyo milioni 300 ambayo ni sawa na dola 120,000 kila mwezi ntakuwa natengeneza dola 40,000
Hii ya kutengeneza Nissan (Caravan) ilinigharimu sana.Nissan civilian zinalipa sana kwa biashara ya dala dala , wapemba wengi zimewatoa .
Siri kuu ninkuwa tumia nissan kama Big G, ikiisha utamu unatupa!! Usije jaribu kutengemeza nissan.
Hawezi kukujibu jibu lenye "akili".kwa nini usikope benki kama hiyo biashara inalipa sana?
Hela zinatoka bosi mimi kabla sijaanda hizo link na kuzisambaza nilijiridhisha kabisa nijue kama zinatoka au laaKuna jamaaa walijiunga haya madude sijui ukiunga mtu level inapanda mara Hela ya siku inapanda wanafurahi mtihani ukaja walipotaka kutoa ndio wakajua hawajui....
Usiwawenge sana motivational speaker, kuna uwezekano mkubwa kabisa mleta mada ni muongo! Mil.5 ni faida ndogo mno kwa capital ya 300mil.Kuna motivational speaker atakuja hapa atakwambia 'mimi nipe mil 10 tu nakupa faida ya mil 3.5 kila mwezi"
Hizo fx zitakufilisijiSeriously ninachokwambia na hiyo 7m nimeweka minimum hela unaweza pata mpaka 10m kwa week kwa 300m.
Just Google novatechfx come
Soma then kama you need more information lemme know.
Uko sahihi hizo connection sio za kila mtu inategemea unaishi wapi.mimi ninapoishi naitwa mezani ishu kubwa kubwa chap nawafata matajiri au kuwapigia pale inapowezekana tho wenye mkwanja hawapokeagi simu lazima kumuona face to face.Upo sahihi kabisa, ila najiuiza kiwanja cha barabarani kwa sasa unakipata kwa bei gani, yaani nafikiria barabara kama goba-madale-wazo, sioni wapi utapata eneo la barabarani kwa bei ya kawaida, au mbezi-kinyerezi-segerea, kifupi 300m kupata kiwanja barabarani ili uvizie wateja wa kujenga filling station au godown ni ndogo. Niko tayari kukosolewa.
Vigezo vya kukopesheka na bank unavijua mkuu ama unajisemea tu ili mradikwa nini usikope benki kama hiyo biashara inalipa sana?
Ndo maana wengi walioko uko wana mitutuInaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?
Unaakili, ila utaitumbukiza wote ukipata uhakikaBinafsi nikiwa na laki 1 ya mtaji sithubutu kuidumbukiza yote kwenye biashara 50/50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niko uko mkuu, ni hatari, ila hella napata kwa lot ndogo tuAchana na hicho unachokifanya
SCALP
NASDAQ, DW, US30, XAUSD
million 300 ni sawa na dollar 120000 hv
Ukikaza, hiyo million tano unapata kwa siku
Lakini hiyo shughuli yake kwanza, kwanza n'cheke
Et ngoja kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23]Achana na hicho unachokifanya
SCALP
NASDAQ, DW, US30, XAUSD
million 300 ni sawa na dollar 120000 hv
Ukikaza, hiyo million tano unapata kwa siku
Lakini hiyo shughuli yake kwanza, kwanza n'cheke
Au unaiua kwa mwez mojaHiyo hela huku kwetu sisi wazee wa forex unaidable kwa miaezi 3 tu
Biashara niloanza nayo ni ya mil10.8Usiwawenge sana motivational speaker, kuna uwezekano mkubwa kabisa mleta mada ni muongo! Mil.5 ni faida ndogo mno kwa capital ya 300mil.
Katika hali ya kawaida kabisa, bila presha, milioni 10 inaweza kukutengenezea faida ya milioni 1 kwa mwezi. Mimi siyo motivational speaker, Huu ndio uhalisia.
Biashara ni mahesabu, haina formula, ila kujenga bland ndo formulaKumbuka wataalamu wanakuambia biashara yoyote mpya inaanza kuwa stabilzed sokoni baada ya miaka 7 plus,haijalishi biashara imeanza na ku boom au na kudorora,ila ukiweza kumudu kudumu sokoni miaka 7 basi hapo Kuna angalau uhakika wa kuanza kukua kibiashara,sio suala la muda mfupi kama watanzania wafanyavyo.
Ndio maana Hawa wenye asili ya Asia wenye biashara zao hawajaanza biashara Jana Wala juzi,sote sisi tu mashahidi unakuta familia ya kihindi au kiarabu na Wachaga Kwa mbaali wanafanya biashara miaka na miaka sio kwamba wamedandia tu.