Kidogo ni mvivu wa kuandika ila ukifuatilia nyuzi zangu unaweza kupata mwangaBiashara gani umeweka pesa yote hiyo na return hiyo
Pesa uliitoa wapi labda ? Urithi? Bettings ? Nina uhakika sio servings za mshahara!
Kosa kubwa unaweza fanya kwenye biashara ni kudhani kuwa pesa inazalisha pesa ,
Commitment na pesa ndo unaweza work your way up na kutengeneza pesa .
Ni nzuri ila sijajua security ipoje huko UTT, si unajua km unakumbuka mambo ya kupanda mbegu (DECI)Kwa mwaka
Biashara hizi.Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga
Jana nilikuambia nipo hospital,,,tutaongea kwa mapana bosi,We hueleweki ulinambia Nini juzi, Jana?
Logistics ina faida sana ila again , sio kwa kila mtu!Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Napendekeza binafsi, kwasababu watu wamejaa mzaha sanaFundisha hapa hapa wote tuelemike kwa faida ya jamii yako
UTT sio deci mkuu, watu wanaitumia miaka mingi mnoNi nzuri ila sijajua security ipoje huko UTT, si unajua km unakumbuka mambo ya kupanda mbegu (DECI)
Biashara ipi hio MkuuKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Kwa mwaka mzima mkuuHizo 12% UTT na 15% BOT ni kwa mda gani?
Biashara ipo kwenye stage ipi kwanza mkuu ? kila biashara ina cycle yake na stage..Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Hii imetulia. Ni biashara gani hiyo mkuu?Pole mkuu, mimi niliwekeza 5.5m mwezi april saiz napata 3+m profit kwa mwezi
Hiyo siyo faida kama hujatoa gharama hizo.Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Ndio mwezi wa kwanza huu mkuu tangu nianzeBiashara ipo kwenye stage ipi kwanza mkuu ? kila biashara ina cycle yake na stage..
Yani wewe unataka kufananisha biashara ya pharmacy na biashara zingine,Kwenye pharmacy nyie mnapata faida hadi mara Tatu ya bei uliyonunulia bidhaaNina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga
Watu kama hao hawakosekani mkuu, Cha msingi ni kuangalia mawazo yanayofaaIla jamii forum bna..eti mtu anasema tu chukua tender fanya logistics utatoka,tender gani unaipata kirahisi kam ulivyoandika ushajua payment yake inachukua muda gani,mara chukua scania itakupa usd 3500,apo hujaondoa bima services wala posho ya dereva
Mwingne anakwambia nimeweka phamarcy 20M nachuku 3M,wakati huo mtu unaemshauri hajui ata panadol zinauzwa wapi kwa jumla na vibali vyake..mwingne anakwambia weka plant ya kusafisha madini wakati huo hujamueleza ushuru wa halmashauri,NEMC na kuna OSHA,kuna WANASHERIA,gharama za hyo plant na kuisafisha...
USHAURI:tafuta biashara unayoipenda saana ifanyie research kwa muda mrefu (ikiwezekana tafuta mtu aliyefanya ingia kwake ata bla malipo,jaribu kuwa mfanyakazi kwa muda flani)utajua ufanye nin?
Ni ushauri mzuri.Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Duh brother, sikubaliani na wewe:Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.