Sasa 12% ya 300m ni 36mil....hii ni faida kwa mwaka...ukiigawa kwa miezi 12 unapata 3m. maanake faida kwa mwezi ni hiyo 3mil...unafuu uko wapi apo?UTT sio deci mkuu, watu wanaitumia miaka mingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa 12% ya 300m ni 36mil....hii ni faida kwa mwaka...ukiigawa kwa miezi 12 unapata 3m. maanake faida kwa mwezi ni hiyo 3mil...unafuu uko wapi apo?UTT sio deci mkuu, watu wanaitumia miaka mingi mno
Sahihi mkuu ndo mana gari zina bima comprehensive na mzigo unakatiwa bima pia.. ndo mana nikasema inamtoa mtu makini yan ni kufatilia kwa karibu sana usi relax..anyway hakuna biashara isiyo na risk! the higher the risk...Logistics ina faida sana ila again , sio kwa kila mtu!
Simu ya dereva kuwa lori limeanguka na copper ya watu imeibiwa inataka ujasiri wa hali ya juu kuipokea na kuifanyia kazi .
Mkuu, tabia ya members humu ndani siku hizi imefanya watu wengi wawe wazito sana kuchangia publicly.Fundisha hapa hapa wote tuelemike kwa faida ya jamii yako
Boss nikishaipata inanisaidia nini?Attention seekers
Kwani hakupima?Kuna jamaa kauziwa vyupa kalia kama mtoto🤣🤣🤣
Umekurupuka sana mpaka naona aibu mimi aisee..wap nimesema unapata USD3500? Binafs hua sichangii kitu kama sina personal experience mana sina muda huo wa kupoteza! Kuna mmoja juu apo ame challenge kumuuliza na yeye hajui ndo wabongo tulivo imradi jitu likukashifu tu! kwanza milion 300 sio yako inakuwashia nn? Au ndo chawa wa hiari 👀Ila jamii forum bna..eti mtu anasema tu chukua tender fanya logistics utatoka,tender gani unaipata kirahisi kam ulivyoandika ushajua payment yake inachukua muda gani,mara chukua scania itakupa usd 3500,apo hujaondoa bima services wala posho ya dereva
Mwingne anakwambia nimeweka phamarcy 20M nachuku 3M,wakati huo mtu unaemshauri hajui ata panadol zinauzwa wapi kwa jumla na vibali vyake..mwingne anakwambia weka plant ya kusafisha madini wakati huo hujamueleza ushuru wa halmashauri,NEMC na kuna OSHA,kuna WANASHERIA,gharama za hyo plant na kuisafisha...
USHAURI:tafuta biashara unayoipenda saana ifanyie research kwa muda mrefu (ikiwezekana tafuta mtu aliyefanya ingia kwake ata bla malipo,jaribu kuwa mfanyakazi kwa muda flani)utajua ufanye nin?
Bado inaweza kuitwa profit (gross), hata hivyo nadhani mtoa mada katumia neno return na si profit.Mwekezaji utasemaje umewekeza mil 300 alafu faida mil 5 kwa mwezi alafu hapohapo unasema hujalipa wafanyakazi na gharama za kuendesha ofisi....FAIDA NI NINI?? Nadhani tatizo limeanzia hapo.
Ni kweli nadhani hizi changamoto zisikukatishe tamaa, Bado Kuna watu wema humu.Mkuu, tabia ya members humu ndani siku hizi imefanya watu wengi wawe wazito sana kuchangia publicly.
Unaweza toa ushauri/wazo bure kabisa kutokana na field experience uliyonayo then anaibuka mtu anakuita 'motivational speaker' au anakutusi kabisa!!
Mbona kubwa SANAKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Sasa unaita hio 5m faida halafu unatuambia bado hujalipa mishahara. Chai.Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Sawa boss ni chai, unaweza tengeneza na yako piaSasa unaita hio 5m faida halafu unatuambia bado hujalipa mishahara. Chai.
Hatufanyi vitu tunavyopenda, tunajifunza na kupenda ndio tunafanya, ukisema fanya kile unakipoenda some of us tunapenda kulala na kula misosi na kula bata sana.....Ila jamii forum bna..eti mtu anasema tu chukua tender fanya logistics utatoka,tender gani unaipata kirahisi kam ulivyoandika ushajua payment yake inachukua muda gani,mara chukua scania itakupa usd 3500,apo hujaondoa bima services wala posho ya dereva
Mwingne anakwambia nimeweka phamarcy 20M nachuku 3M,wakati huo mtu unaemshauri hajui ata panadol zinauzwa wapi kwa jumla na vibali vyake..mwingne anakwambia weka plant ya kusafisha madini wakati huo hujamueleza ushuru wa halmashauri,NEMC na kuna OSHA,kuna WANASHERIA,gharama za hyo plant na kuisafisha...
USHAURI:tafuta biashara unayoipenda saana ifanyie research kwa muda mrefu (ikiwezekana tafuta mtu aliyefanya ingia kwake ata bla malipo,jaribu kuwa mfanyakazi kwa muda flani)utajua ufanye nin?
Ndio boss, hizo ni typing error angalia heading hapo ndani nimekosea.Sasa unapataje faida kabla ya kutoa running costs ikiwepo hiyo mishahara ya wafanyakazi??
Faida inapatikana after running cost kutolewa..
Anaepata 5m per month kwa mtaji wa 300m, anapata faida nzuri.Duh brother, sikubaliani na wewe:
300m x 12% = 36m
36m/12 = 3m paid annually.
Scenario ya pili
300m x 15 = 45m
45m/12 = 3.75m paid after 6 months 22.5m
Hizi zote ni risk free investment.
Yeye amesema anapata 5m/m lakini bado ana obligation ya kulipa wafanyakazi na hela yake anaipata kila mwezi.
Miezi 6 unasubiri hela ya BOT utajikuta umeishakopa kwingine au umekula mtaji kwingine.
Kwa mtu wa mahesabu kupata 5m/m from 300m investment inaoonyesha hakuwa makini kuchagua wapi awekeze hela yake.
There are better investment opportunities with higher ROI than the one he went for.
Ungewekeza JATU Plc, kilimo bila stress....Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.