Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Unataka mfanye kitu gani na braza @IyenyiTufanye kitu bosi wangu[emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka mfanye kitu gani na braza @IyenyiTufanye kitu bosi wangu[emoji7]
Wale wa kukopakopa,Fafanua mkuu
Hii sijakopa mkuu, Ni pesa yangu ambayo haidaiwiWale wa kukopakopa,
Biashara [emoji23],Unataka mfanye kitu gani na braza @Iyenyi
Walengaji tuko nao kitaa huku na kila siku tunawanunulia k-vant Sasa sjui hesabu hizo hawazionagi au la?😄😄Kama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Hebu njoo inboxMkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Yaani kukopesha bidhaa,Hii sijakopa mkuu, Ni pesa yangu ambayo haidaiwi
Biashara unayo ilionyooka? Nicheki dmBiashara [emoji23],
Tutagawana faida[emoji41]
Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Biashara unayo ilionyooka? Nicheki dm
Umemshauri vyema bora aweke UTT tu kazi yake ni kupokea gawio.
BinSalum7Mkuu kwenye sector ya logistics hii pesa unaizungusha ndan ya muda mchache, ukitaka kama transporter (scania used imesimama unapata hata kwa USD 35,000) au kuchukua tender na wewe ugawe kwa sub contractors...logistics haijawahi kuangusha mtu makini! Watu wanatoka kwa mikopo.. wewe advantage mtaji unao! Kila la heri.
Sio rahisi hivyo[emoji23]
Hahah nimeona niwashirikishe na wataalam watupe uzoefu wao mkuu.Sio rahisi hivyo[emoji23]
Plant gani wanasafishia madini?!Unapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia[emoji28][emoji28][emoji28]