Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida nzuri ya uhakika ni kununua bond au hisa kwenye nchi zenye stable economy ambazo uchumi wake hauathiriki na siasa, mfano Canada, USA,nchi za emirates, scandinavian countries, uswiss. Pesa yako inakua salama we unakula gawio tu KILA BAADA ya miezi 3.Kwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Nina pharmacy nilifungua kwa mil 20 kwa mwezi napata faida 3.5m hapo nimetoa kila kitu Kodi mishaara ya wafanyakazi nk,wewe mil 300+ unapata mil 5 na bado haujatoa running cost!!!
Biashara yako kuna watu wanakupiga
Huyu haelewi vitu vitatuMwekezaji utasemaje umewekeza mil 300 alafu faida mil 5 kwa mwezi alafu hapohapo unasema hujalipa wafanyakazi na gharama za kuendesha ofisi....FAIDA NI NINI?? Nadhani tatizo limeanzia hapo.
[emoji1787]Bora ungekuja tuuze Vipodoz [emoji1787][emoji1787]
Zipo nyingi tu,sio zile za darasani.Hiyo return ni ya juu sana sielewi kwa nini unalalamika. Ume invest 300M returns kwa mwaka ni 60M ambayo ni karibia 20%. hamna biashara nyingine yenye such high returns. Hata treasury bills/bonds annual returns ni around 10%.
Black market, madini, fashion industry,high risk, hight return
BajajAisee mi kuna biashara nimeweka milioni 8 napata laki kwa mwezi faida sold ukiondoa mambo yote.... nimejisikia kinda kabisa kwako... hongera mkuu usikate tamaaa utapata returns nzuri be patient
Kumbe tupo wengi...biashara zinaleta msongo wa mawazoWe acha tu boss..
Mie kuna mda nakosa usingizi kabis, mapigo ya moyo yapo juu...
Ila inabidi tu tukomae..
Hahah nakubali mkuu,Cha msingi watu wakubali tu biashara sio kila mtu anaiweza.Zile Hi/Lo,Stress,timing,dynamics za bizness hua sio za mchezo mchezo mkuu.😂😂😂
Noma sana mkuu, biashara nyepesi mno ukisimuliwa. Kuna watu wakikupa maelezo kabla hata ya kuanza biashara unaweza tafuta architect akupe design ya bonge la Villa utakalojenga mda mfupi baada ya kuanza biashara.
Kuna maelezo ukipewa unaweza ona wote wanaokutana na changamoto kwenye biashara hizo ni wapumbavu hawajielewi. Biashara ina mambo mengi.
Ku'create demand ama kutafuta demand ili ujihusishe na supply (ambayo ndio biashara yenyewe) sio kazi ndogo. Inahitaji umakini na akili iliyotulia.
Leo nitakupa wazo la samaki kua zinalipa kumbe zinalipa kwa eneo tu nililopo hapa kwa huko uliko huenda mitende ndio inalipa zaidi. Ukifata wazo langu la samaki dk zero unabwaga manyanga 😂
True thus wastaafu wengi ufa mapema.Hakuna kitu kigumu kama kuendesha biashara[emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara inasiri kubwa ndugu yangu[emoji41]
Hakuna biashara rahisi kama pharmacy aisee ikikushinda hii zingine hutoweza hata kidogo.Yani wewe unataka kufananisha biashara ya pharmacy na biashara zingine,Kwenye pharmacy nyie mnapata faida hadi mara Tatu ya bei uliyonunulia bidhaa
Mnanunua powercef jumla Kwa 600-700Tsh nyie mnauza reja reja 2000-2500Tsh, dawa za Minyoo mnanunua 200 mnauza 1000, paracetamol mnanunua 20 mnauza 100 sasa Kwa mtindo huu mnategemea faida yenu na wengine zitakuwa sawa?
Kutana na biashara ambayo bidhaa unanunua 5000 na unauza 6000 ili upate faida ya 1000 na hapo utoe Kodi,chakula na mishahara ya wafanyakazi
Kwa hizo 20M zako ambazo wewe zinakupa faida ya 3.5 per month, me kuna mtu namjua kawekeza kwenye biashara ingine na zinampa 800k Kwa mwezi na bahati yake ni kwamba yeye ndio msimamizi halipi salary
kwahiyo issues sio return bali issue ni return kwenye biashara ipi, ila usikariri kila biashara inafanana na hiyo yako ya pharmacy,
Wakistaafu na biashara ustaafu, unakuta mstaafu ana magari ya biashara uwani mwake nayo yapo juu ya mawe yamestaafuHahah nakubali mkuu,Cha msingi watu wakubali tu biashara sio kila mtu anaiweza.Zile Hi/Lo,Stress,timing,dynamics za bizness hua sio za mchezo mchezo mkuu.
Na Ni vzr Sana kumheshimu mtu ambae anategemea biashara tu kuendesha Maisha yake ya kila siku na Maisha yanaenda fresh kabisa huyo Ni mwanaume/mwanamke wa Shoka haswaa maana anayoyapitia anayajua mwenyewe.
Wale Ndg zangu wa Nina mshahara lkn Nina side business hao wawe wapole tu,bado hawajaelewa vzr wakisemacho na sitashangaa mshahara/madili ya ofisini ndio yanasukuma hio biashara,na ndio maana wengi tu wamegoma kuachia ofisi waende kwny biashara moja kwa moja au siku wakitoka ofisini tu then biashara nazo huyumba au kufa kabisa.
Bajaji ndo milion 8 mtaji?Bajaj
Wee acha tu. Cement jumla unanunua tshs 15000 halafu wewe unaenda kuuza 15500 hapohapo mteja anaomba discount. Biashara ngumu nyie!!!Yani wewe unataka kufananisha biashara ya pharmacy na biashara zingine,Kwenye pharmacy nyie mnapata faida hadi mara Tatu ya bei uliyonunulia bidhaa
Mnanunua powercef jumla Kwa 600-700Tsh nyie mnauza reja reja 2000-2500Tsh, dawa za Minyoo mnanunua 200 mnauza 1000, paracetamol mnanunua 20 mnauza 100 sasa Kwa mtindo huu mnategemea faida yenu na wengine zitakuwa sawa?
Kutana na biashara ambayo bidhaa unanunua 5000 na unauza 6000 ili upate faida ya 1000 na hapo utoe Kodi,chakula na mishahara ya wafanyakazi
Kwa hizo 20M zako ambazo wewe zinakupa faida ya 3.5 per month, me kuna mtu namjua kawekeza kwenye biashara ingine na zinampa 800k Kwa mwezi na bahati yake ni kwamba yeye ndio msimamizi halipi salary
kwahiyo issues sio return bali issue ni return kwenye biashara ipi, ila usikariri kila biashara inafanana na hiyo yako ya pharmacy,
Mtaji kiasi gani kwenye hii biashara maana najua warembo tutawapata tuu wakuwauziaBora ungekuja tuuze Vipodoz [emoji1787][emoji1787]
Hahaha wewe jamaaMilioni 300 ukiamua kuitunza na kutumia kila mwezi 2M maana yake utakula maisha bila stress kwa miaka 20 ijayo. Sijui umri wako ila kama umri pia umeenda, kwa next 20 years maana yake utakuwa umekaribia kumaliza siku zako za kuishi. Kuja pesa ikakata, na wewe siku zako zinakuwa zinaelekea kukata. Yaani hapo ni kula 2M kwa mwezi bila stress za hii dunia. Maisha ya hapa Duniani ni kuchagua tu, maana utajiri hauingii nao kaburini. Kwanini kujipa stress ufe mapema?