Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

Biashara yeyeto ni nyepesi kwenye makaratasi,
Kama wewe ni mstaafu nakuonya usitupe pesa zako kwenye biashara utakufa , bora upambane na stress za kudai kodi wapangaji hana kodi fukuza weka mwingine.
Kama wewe bado upo kazini na huna mda wa kusimamia, pesa yako kanunulie viwanja, mashamba, nyumba au Jengea ukishindwa vyote kafanyie starehe kuliko kufanya mradi kwa simu.
 
Biashara yeyeto ni nyepesi kwenye makaratasi,
Kama wewe ni mstaafu nakuonya usitupe pesa zako kwenye biashara utakufa , bora upambane na stress za kudai kodi wapangaji hana kodi fukuza weka mwingine.
Kama wewe bado upo kazini na huna mda wa kusimamia, pesa yako kanunulie viwanja, mashamba, nyumba au Jengea ukishindwa vyote kafanyie starehe kuliko kufanya mradi kwa simu, ni lazima ulie.
 
Kwa nini unadhani baada ya miaka 20 ijayo thamani ya shilingi itaendelea kushuka zaidi na si kuimarika? Unamanisha hii nchi itaendelea kuwa economical stagnant kwa hata hiyo miaka 20 ijayo? Kwamba mtu wa maisha ya kawaida hawezi kumudu gharama za maisha kwa hiyo 2M ya sasa?
Mwaka 1998 tulinunua Carina A60 kutoka Japan,CIF+Kodi za TRA Zilikua kwny Tsh.mil 4.

Mwaka 2018(miaka 20 mbele) hio Tsh. Mil 4 ningeweza nikaagiza Gari gani kutoka Japan+Ushuru wa TRA?
 
Sasa kinakuchekesha nini labda tuanzie hapo kwanza
Mbona return ni ndogo sana. Maana kwa uelewa wangu angalau business ilete return ya 5% kwa mwezi....so wewe ungekuwa waingiza laki nne
 
Mkuu ni vema ukaweka wazi ni biashara ipi unayoifanya maana ukiwa na mtaji kama huo kwa 5million ni ndogo, japo biashara ni ngumu sana hasa kama Huna uvumilivu.
 
Yani unataka kumshauri mtu ambae hakusema baishara gani anayofanya watu manajaza uzi tu.
 
Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
113 nzuri kwa kuanzia maisha, ukiwa serious utatoka. Kuna jamaa alinitumia video za Scania 124 420 trailer Excell RRR complete kwa 35M.
20220824_160956.jpg
 

Attachments

  • 20220824_160956.jpg
    20220824_160956.jpg
    37.5 KB · Views: 13
Z
Zipo nyingi tu,sio zile za darasani.
Yaani uinvest kwa mwaka 300m upate faida ya m60 hela ndogo sana hii
😂😂😂

Unayumba mzee ha ha ha.

Kwa all legit business, zisizo na makando kando. Tena zile ambazo zinakaguliwa haswa. Most katika hizo net profit huwa zina range 10% ikienda sana 30%. Tena hizi rate ni kwa well established company ama brand.

Chukua mfano Giants tech Company kama Amazon.
Total Assets over 400+ billions dollar
Total Revenue over 400+ billions dollar
Ila annual net profit inatulia kwenye just 30+ billions dollar.

Je vipi hapo kwa mtizamo wako hawa jamaa hawajui kufanya biashara eeh? Hapo ukiizoom vizuri net profit unaona kabisa inasoma below 10%.

Zunguka kote kwa ma top notch kama Alphabet Inc, Sio Meta wala Apple, sio Alibaba wala nani kote net profit utaikuta kwenye range hiyo ya 10% ikienda saaaana 30%.

Issue ya faida mara 2 mara 5 au hata mara 500 kwa kubeti 😂 ni biashara ya kuifanya kihuni sana, sio kwamba hazipo zipo ila sio sahihi kwa kila mtu.

Personality yako ndio itakayoamua unafanya biashara ipi na itaingiza shi ngapi kwa uwekezaji unaoenda kufanya. Maana mwingine hapa atasema hizo Mil300 ukifungu danguro la pisi kali ukawa unakula kila kichwa 50k kwa siku watu 20 n m1 kwa mwezi ni 30M kwa mwaka 360M...

Yah ni hesabu za kufikirika ila zinashawishi. Swali juu ya swali, hiyo biashara ni legal kwa eneo ulipo? Hiyo biashara itakutambulishaje kwenye jamii unayoishi? Katika hustle zako una standard ulizojiwekea za kukuingizia kipato au kila mzoga mbele as long as unaingiza pesa hata kuua unaweza?

After all Biashara kubwa kwanza ni ngumu sana kuifanyia uhuni. Tofauti na biashara ndogo ndogo ambazo hupigwi sana torch za seikali.

Kwa Mil 300, kulingana na aina ya biashara 5per month, 60 per annum ni standard otherwise ukitaka kuipatia faida (net profit) of over 100Mil inakulazim kile unachozalisha ukiwekee price tag ya karibu mara 2 to 3 zaidi ya gharama za uzalishaji.

Sasa kama una leseni na una- operate legally huu uhuni unaufanya vipi labda ukaufanye kwenye dunia yako 😂.
 
Back
Top Bottom