BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Yupo sahihi, return yake angepata kubwa kulikoni hiyo ya 5M kwa 300M.Sio rahisi hivyo[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihi, return yake angepata kubwa kulikoni hiyo ya 5M kwa 300M.Sio rahisi hivyo[emoji23]
Thnxs Sana chief.Kweli bila shaka mkuu japokuwa gharama za magari zimeongezeka kiasi.
Hiyo ya wiki hii na imesimamia 110 Milion. View attachment 2333556View attachment 2333557
Hahah mzee wa kuwekeza kwny papuchi acha kunikatisha tamaa mwakani ntakuja na ushuhudaSii bora hiyo million nane uwekeze kwenye betting tuu.
Michi moja ya yanga tayari una million mbili🤣🤣🤣🤣🤣
Seriously ninachokwambia na hiyo 7m nimeweka minimum hela unaweza pata mpaka 10m kwa week kwa 300m.Boss mbona kama hauko serious
Sasa mnataka kupewa hesabu za uongo ili iweje? Ndo hivyo mkuu huku naendelea kujifunza.Milioni 8 kwa mwezi faida laki 1! Kwa wiki faida 25,000? Acha utani.
Wewe sii mpenzi wa simba...mechi za hapo taifa mpe mnyama uone unavyokula mihelaHahah mzee wa kuwekeza kwny papuchi acha kunikatisha tamaa mwakani ntakuja na ushuhuda
Daladala nyingi mjini ni za mapolisi zinasavive kwa simuHahah mfano halisi kabisa huo ulioutoa mkuu,huku mtaani wamejaa wazee wa aina hio.
Take your time pitia novatechfx.comWapi huko mkuu?
Sasa kinakuchekesha nini labda tuanzie hapo kwanzaSii bora aolewe tuu alishwe na mume wake🤣🤣🤣🤣🤣
Mwaka 1998 tulinunua Carina A60 kutoka Japan,CIF+Kodi za TRA Zilikua kwny Tsh.mil 4.Kwa nini unadhani baada ya miaka 20 ijayo thamani ya shilingi itaendelea kushuka zaidi na si kuimarika? Unamanisha hii nchi itaendelea kuwa economical stagnant kwa hata hiyo miaka 20 ijayo? Kwamba mtu wa maisha ya kawaida hawezi kumudu gharama za maisha kwa hiyo 2M ya sasa?
Mimi siingii kwenye hyo biashara kubet ni ya watu wavivuWewe sii mpenzi wa simba...mechi za hapo taifa mpe mnyama uone unavyokula mihela
Mbona return ni ndogo sana. Maana kwa uelewa wangu angalau business ilete return ya 5% kwa mwezi....so wewe ungekuwa waingiza laki nneSasa kinakuchekesha nini labda tuanzie hapo kwanza
113 nzuri kwa kuanzia maisha, ukiwa serious utatoka. Kuna jamaa alinitumia video za Scania 124 420 trailer Excell RRR complete kwa 35M.Challenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Inategemea ni biashara ipi na nimekwambia naendelea kujifunza. At least ungeniuliza maswali ya msingi ya kunijenga na sio kubeza hapa na kucheka cheka tuu.Mbona return ni ndogo sana. Maana kwa uelewa wangu angalau business ilete return ya 5% kwa mwezi....so wewe ungekuwa waingiza laki nne
😂😂😂Z
Zipo nyingi tu,sio zile za darasani.
Yaani uinvest kwa mwaka 300m upate faida ya m60 hela ndogo sana hii
dili haramu zinalipa sana shida unaishi kwa wasiwasi muda wote kama unakamatwaYes.....
Ukitaka biashara ya kukutajirisha maradufu fanya uharamia