Biashara inayomfaa mwanachuo anayesoma Doctor of Medicine(MD) ni ipi?

Biashara inayomfaa mwanachuo anayesoma Doctor of Medicine(MD) ni ipi?

Naheshimu sana daktari alisoma na mpaka kuwa daktari miaka ya zamani
MD kwa maana Doctor of Medicine, ni moto ambao ukisoma taaluma nyingine ni mpaka kuwa Doctor of Philosphy ni lazima usome miaka kadhaa.
Mpaka uwe Doctor of Medicine ni miaka mpaka 6 ndio umalize uitwe MD, na hapo bado miaka kadhaa tena uwe Registrar doctor, halafu miaka mingine ya kutosha mpaka uitwe Consultant(daktari bingwa)
Zamani ilikuwa ni vipanga tu ndio wanafika huku, ila siku hizi majanga mpaka mtu anatoka na diploma anataka kuwa daktari

😂😂😂 sijui kwanini nimecheka.
 
Acha hizo mambo subiri ufike mwaka wa 4 ndio ujiingize huko kwenye biashara, medicine sio mchezo mchezo kwa mwaka wa 1 hadi wa 3,,
 
Zamani ilikuwa vipanga wakati zamani hata CBA walikuwa wanasoma MD??. Sasahivi ndo vipanga maana lazima uwe PCB one ya 3 au ya 4 ya 5 unaweza ukakosa,ukitokea diploma lazima uwe na GPA ya 4.5 na kuendelea. Zamani sasa hadi division 2 walikuwa wanaenda kusoma MD, fanya vyote ila usiseme wanaoenda kusoma udaktari sasahivi hawana akili ilihali madaktari wa zamani hadi CBG walikuwa wanabebwa.
Zamani yako hiyo ya enzi za Kikwete.
Walishusha viwango.
Zamani ya huyo mdau kabla ya serikali ya Kikwete.
 
Options ziko nyingi




1. Both Teams to Score (BTTS)
2. Over/Under Goals
3. Correct Score
4. First Goal Scorer
5. Last Goal Scorer
6. Anytime Goal Scorer
7. Team to Score
8. Clean Sheet
9. Total Corners
10. Corner Handicap
11. Total Cards
12. First Half Goals
13. Second Half Goals
14. Half-Time/Full-Time
15. Winning Margin
16. Double Chance
17. Team Total Goals
18. Goal in Specific Time Period
19. Player Shots
20. Player Shots on Target
21. Player Assists
22. Player Cards
23. Penalty Awarded
24. Red Card
25. Own Goal
26. Both Teams to Score in Both Halves
27. Team to Win & BTTS
28. Team to Win & Over/Under Goals
 
WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Biashara inayomfaa ni kusoma kwa bidii .

Harakati kwa wakati, wakati wako wa biashara bado, wakati uliopo ni kwa ajili ya kusoma , wakati wa biashara ukifika utafanya tu hiyo biashara.

Tunazalisha wasomi wajinga wajinga kwa tamaa za pesa , maana wanamaliza masomo wakiwa hawapo competent maana muda wa kusoma waliutumia kuhangaikia biashara zao zisife.
 
WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Biashara inategemea na upo mazingira gani, yani ni kitu gani kinahitajika mahali ulipo. Wewe mwenyewe ndo unajua
 
Back
Top Bottom