Biashara inayomfaa mwanachuo anayesoma Doctor of Medicine(MD) ni ipi?

WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Ingia sport bet mpe pesa yote 500k yanga atashinda Jmosi vs Gaberone united.
Baada ya mechi tafuta kiroba kabisa cha kubebea mihela.
 
WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Wajuwe zaidi kwanza Guyton/Costanzo, Zuckermani, frank Natter -et Al. Mengine utaongezewa.
 
Ndiyo maana kila nyumba mbele kuna fremu,mtu kupata 500K tu anawaza kufanya biashara!!😀
 
WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Uza chupi za wanawake hapo kwa wanafunzi wenzako wa kike. Unanunua 2000 unauza 7000.
 
Back
Top Bottom