Naheshimu sana daktari alisoma na mpaka kuwa daktari miaka ya zamani
MD kwa maana Doctor of Medicine, ni moto ambao ukisoma taaluma nyingine ni mpaka kuwa Doctor of Philosphy ni lazima usome miaka kadhaa.
Mpaka uwe Doctor of Medicine ni miaka mpaka 6 ndio umalize uitwe MD, na hapo bado miaka kadhaa tena uwe Registrar doctor, halafu miaka mingine ya kutosha mpaka uitwe Consultant(daktari bingwa)
Zamani ilikuwa ni vipanga tu ndio wanafika huku, ila siku hizi majanga mpaka mtu anatoka na diploma anataka kuwa daktari
Wewe kilaza nakupa fursa ya kuweka ligi na mimi kwenye muktadha wa taaluma ya elimu?Haujawahi kuwa na akili na hautokuja kuwa na akili
Zamani yako hiyo ya enzi za Kikwete.Zamani ilikuwa vipanga wakati zamani hata CBA walikuwa wanasoma MD??. Sasahivi ndo vipanga maana lazima uwe PCB one ya 3 au ya 4 ya 5 unaweza ukakosa,ukitokea diploma lazima uwe na GPA ya 4.5 na kuendelea. Zamani sasa hadi division 2 walikuwa wanaenda kusoma MD, fanya vyote ila usiseme wanaoenda kusoma udaktari sasahivi hawana akili ilihali madaktari wa zamani hadi CBG walikuwa wanabebwa.
Umemsahamu secretarybirdNtumie hiyo hela na crew yangu hapa tuje na ushauri mujaruba
Cc Castle_Lite min -me Dr am 4 real PhD Seran
Kijana wangu nimemlea kwa upendo halafu leo anaisahau! 🥲Umemsahamu secretarybird
Karatu secondary tena mlikua mnavaa suti nyeusiiKijana wangu nimemlea kwa upendo halafu leo anaisahau! 🥲
Ulisoma Karatu Boys kaka?Karatu secondary tena mlikua mnavaa suti nyeusii
Biashara inayomfaa ni kusoma kwa bidii .WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Hakika.Soma kwanza.
We need competent doctors sio wale kutumia AI.
Achana na biashara
Wajinga hamuishi.Duka la dawa ndani ndani halafu toa huduma zote hadi canulation
Huu muda atautolea wapi?Ni bidii zako kuwahi kwenye masoko ya stereo na buguruni kuweza kupata bidhaa zako kwa bei nafuu
Achague Moja kati ya elimu au biashara.Hakika.
Shikamoo yeseUlisoma Karatu Boys kaka?
Marahaba hujambow?Shikamoo yese
Biashara inategemea na upo mazingira gani, yani ni kitu gani kinahitajika mahali ulipo. Wewe mwenyewe ndo unajuaWAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu