Mkuu kila kheri nakumbea ufanikishe 😋😋😋😋😋nistue location nije kuonja mapishi napenda kula.Mkuu nafikiri ni mkanganyiko tu wa mwandiko lakini lengo ni moja tu.
Asante kwa kunistua lkni.
🤣🤣🤣eti kumla mpika chakula😁😁haya bhana.
Asante sana kwa ushauri mkuu uzidi kubarikiwa..
Nyodo nitaziacha nyumbani 🤪
Shukrani mno Wang Shu
Ila akija inabidi ujiandae ataomba kula mapishi na mpishi kwa pamoja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Wang Shu
Nitakustua mwamba uje unisapoti kwa kununua msosi[emoji4][emoji4]
Wana mbinu kali sana,mwanzoni ukimkaribisha anakuwa mpole ili akuzoee kidogo mwisho wa siku unajikuta umenasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atakishia kukula mapishi tu..mpishi haliki[emoji38][emoji38]
Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.
Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.
Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na hasara na changamoto zake.
Nina imani huku nitapata muongozo nini cha kufanya na nijiandae na nini
Najua biashara yoyote ukiwin location umetoboa hili ninalijua.nataka biashara mojawapo kati ya hizo ni ipi nitapata faida zaidi.najua zote zina faida lkni nataka itakayomzidi mwenzake.
Nafahamu mwanzo ni mgumu pia.
Natanguliza shukrani za 👏👏
Sema najua hapa unaona aibu akija kimyakimya najua mtayajenga.[emoji38][emoji38][emoji38]mbona kama unamtengenezea mazingira[emoji1787][emoji1787]
Hatafunwi mtu hapa mkuu..niamini
itabidi nimkutanishe na mwamba wa ❤️ wangu(mwanaume mwenzie)wakubaliane.sema najua hapa unaona aibu akija kimyakimya najua mtayajenga.
Upo maeneo ya wapi nikutafutie location nzuri ya biashara?
Kwanza hakuna biashara ambayo haina faida, Pili faida ya biashara huja yenyewe baada ya kupanda mbegu katika hio biashara, Mbegu yoyote utakayopanda ndio utakayovuna kwenye hio baishara.
mtwara ni kubwa mkuu.itabidi nimkutanishe na mwamba wa [emoji3590] wangu(mwanaume mwenzie)wakubaliane.
Mimi ndie mwamuzi.nikiwa wa aina hiyo nitatafunwa na wangapi mkuu.
Niko mtwara mkuu
Shukrani mkuu.najua hakuna biashara isiyonafaida lakini nimezichagua hizo mbili mkuu.naomba kujua pia Do’s and Dont’s na changamoto zake
Itabidi nitulize kichwa sasa nikumbuke ni biashara gani niliyokuwa naipenda tangu mwanzo maana naona zote ninazipenda na kila kukicha mawazo mapya ya biashara yanaibukaBiashara nzuri, Ni ile ambayo una uzoefu nayo, Lakini kama hujawai kufanya biashara yoyote basi ni muhimu kuijua biashara uliyokua unaipenda kabla, Biashara utakayokua na amani wakati unaifanya
Itabidi nitulize kichwa sasa nikumbuke ni biashara gani niliyokuwa naipenda tangu mwanzo maana naona zote ninazipenda na kila kukicha mawazo mapya ya biashara yanaibuka
Ni kweli kabisa mkuu na hiyo ndio changamoto kubwaPia unaweza kukuta biashara unayotaka ni nzuri lakini changamoto zake kubwa ni mtaji, Unaweza kuwa na mgahawa ambao wewe ulikua unataka kuufungua, Baadae ukafungua lakini ukagundua mtaji wako hautoshelezi kuhudumia watu, Kuna vitu watu wanataka wanavihitaji na wewe huna, Hivyo ni muhim wazo lako likaendana na mtaji wako pia