Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.

Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.

Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na hasara na changamoto zake.
Nina imani huku nitapata muongozo nini cha kufanya na nijiandae na nini

Najua biashara yoyote ukiwin location umetoboa hili ninalijua.nataka biashara mojawapo kati ya hizo ni ipi nitapata faida zaidi.najua zote zina faida lkni nataka itakayomzidi mwenzake.

Nafahamu mwanzo ni mgumu pia.

Natanguliza shukrani za 👏👏
 
Kwenye kichwa cha habari unataka biashara yenye kutoa faida kwa haraka.
Kwenye maelezo unataka biashara inayozidi faida,mkanganyiko huu chagua unataka haraka au unataka faida zaidi! Au vyote?

Mkuu kwa huzoefu wangu nakushauri anzisha biashara ya mgahawa hii inalipa kwa wakati.

Chakula ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila lazima watu wale.
Zingatia uduma bora,chakula kizuri na eneo zuri.

Changamoto ya biashara hii inatuma inataji lazima uwe na msaidizi mchapa kazi uwe serious na unachokifanya.

Changamoto nyingine ni wateja wakiume kuja kwa njia ya kutaka uduma tofauti na bidhaa husika,badala kula chakula wanataka kumla mpika chakula.

Lakini ndio wateja ambao watakuvusha na kupiga hatua ilimradi usiwe mkali kwa wateja hata wakaongea nini achana nao focus kwenye mradi wako ili na wao waendelee kuja.

Nyodo acha nyumbani kuwa mcheshi hakika nakuambia utaachiwa chenji hadi elfu kumi mtu hadai hiyo ni advantage kwako ilimradi usiyumbe kifikra.
 
Mkuu nafikiri ni mkanganyiko tu wa mwandiko lakini lengo ni moja tu.
Asante kwa kunistua lkni.

🤣🤣🤣eti kumla mpika chakula😁😁haya bhana.

Asante sana kwa ushauri mkuu uzidi kubarikiwa..
Nyodo nitaziacha nyumbani 🤪

Shukrani mno Wang Shu
 
Mkuu kila kheri nakumbea ufanikishe 😋😋😋😋😋nistue location nije kuonja mapishi napenda kula.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atakishia kukula mapishi tu..mpishi haliki[emoji38][emoji38]
Wana mbinu kali sana,mwanzoni ukimkaribisha anakuwa mpole ili akuzoee kidogo mwisho wa siku unajikuta umenasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.

Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.

Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na hasara na changamoto zake.
Nina imani huku nitapata muongozo nini cha kufanya na nijiandae na nini

Najua biashara yoyote ukiwin location umetoboa hili ninalijua.nataka biashara mojawapo kati ya hizo ni ipi nitapata faida zaidi.najua zote zina faida lkni nataka itakayomzidi mwenzake.

Nafahamu mwanzo ni mgumu pia.

Natanguliza shukrani za 👏👏

Biashara inayolipa zaidi inategemea Imani yako, I juzi, na utendaji wako! All these constant Biashara nzuri ni ya genge!
 
wana mbinu kali sana,mwanzoni ukimkaribisha anakuwa mpole ili akuzoee kidogo mwisho wa siku unajikuta umenasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😆😆😆mbona kama unamtengenezea mazingira🤣🤣

Hatafunwi mtu hapa mkuu..niamini
 
Biashara inayolipa zaidi inategemea Imani yako, I juzi, na utendaji wako! All these constant Biashara nzuri ni ya genge!

Shukrani sana chief..ubarikiwe.

Habari yako lakini
 
Kwanza hakuna biashara ambayo haina faida, Pili faida ya biashara huja yenyewe baada ya kupanda mbegu katika hio biashara, Mbegu yoyote utakayopanda ndio utakayovuna kwenye hio baishara.
 
sema najua hapa unaona aibu akija kimyakimya najua mtayajenga.
Upo maeneo ya wapi nikutafutie location nzuri ya biashara?
itabidi nimkutanishe na mwamba wa ❤️ wangu(mwanaume mwenzie)wakubaliane.

Mimi ndie mwamuzi.nikiwa wa aina hiyo nitatafunwa na wangapi mkuu.

Niko mtwara mkuu
 
Kwanza hakuna biashara ambayo haina faida, Pili faida ya biashara huja yenyewe baada ya kupanda mbegu katika hio biashara, Mbegu yoyote utakayopanda ndio utakayovuna kwenye hio baishara.

Shukrani mkuu.najua hakuna biashara isiyonafaida lakini nimezichagua hizo mbili mkuu.naomba kujua pia Do’s and Dont’s na changamoto zake
 
itabidi nimkutanishe na mwamba wa [emoji3590] wangu(mwanaume mwenzie)wakubaliane.

Mimi ndie mwamuzi.nikiwa wa aina hiyo nitatafunwa na wangapi mkuu.

Niko mtwara mkuu
mtwara ni kubwa mkuu.
Kuna kiyangu,shangani,ligula,magomeni,mnarani,bima,skoya.
wewe upo maeneo gani ya mtwara?
 
Biashara nzuri, Ni ile ambayo una uzoefu nayo, Lakini kama hujawai kufanya biashara yoyote basi ni muhimu kuijua biashara uliyokua unaipenda kabla, Biashara utakayokua na amani wakati unaifanya
Shukrani mkuu.najua hakuna biashara isiyonafaida lakini nimezichagua hizo mbili mkuu.naomba kujua pia Do’s and Dont’s na changamoto zake
 
Biashara nzuri, Ni ile ambayo una uzoefu nayo, Lakini kama hujawai kufanya biashara yoyote basi ni muhimu kuijua biashara uliyokua unaipenda kabla, Biashara utakayokua na amani wakati unaifanya
Itabidi nitulize kichwa sasa nikumbuke ni biashara gani niliyokuwa naipenda tangu mwanzo maana naona zote ninazipenda na kila kukicha mawazo mapya ya biashara yanaibuka
 
Pia unaweza kukuta biashara unayotaka ni nzuri lakini changamoto zake kubwa ni mtaji, Unaweza kuwa na mgahawa ambao wewe ulikua unataka kuufungua, Baadae ukafungua lakini ukagundua mtaji wako hautoshelezi kuhudumia watu, Kuna vitu watu wanataka wanavihitaji na wewe huna, Hivyo ni muhim wazo lako likaendana na mtaji wako pia

Ni kweli kabisa mkuu na hiyo ndio changamoto kubwa

Ninakushukuru sana nitayafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom