Tuanzie kwakeKwi Kwi Kwi
Hayo maneno ya Mwalimu Nyerere, ni kama alijuwa haya yaliyotokea na Samia; kwenye huo mkutano wao wakati "Genge" lilipomteua Samia Suluhu Hassan.Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Mwaka huu matakwa ya umma hayazuiliki kama walivyozoea huko nyuma..
Na ukiangalia vizuri, ni kama wote ni wanachama wa CCM ndio wanao hudhuria mikutano hiyo. Hakuna waTanzania wasiokuwa wana CCM wanaohangaika kwenda kwenye mikutano hiyo!Mkutano wa Makala kagera wameamua kuweka viti at least kuonesha kuna space watu walikuwepo maana hakuna wananchi wanaoenda kuwasikiliza zaidi ya hao wanaowabeba kwenye Magari.
Kweli Biashara ishakuwa ngumu hii🤣🤣🤣
Unajuwa ubovu unako anzia?TIS kama TIS si wanajua wao ni taasisi ya umma isiyo na chama? Inakuaje inaburuzwa na CCM? Hata kama serikali ni ya ccm tiss haipaswi kuipepelea ccm, iiache iende na maji yenyewe ibaki na jukumu lake la msingi kusuighulika na usalama wa taifa. TISS ni ya wananchi wa vyama vyote
Ukimuuliza nyumbu huyu wa lissu kaandika nini' haswa huwezi kupata jibu. Kimsingi Sasa hv nyumbu wa chadema chakavu wamekuwa kama wamekatwa vichwaaa.Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati!
Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣
Baada ya CCM na TISS kuwekeza mabilioni ya fedha kuiua Chadema, jambo moja walilosahau ni kwamba Chadema ya sasa ina watu wajanja sana waliojiandaa vyema na mipango yao hiyo ili kuwaanika wazi na ufedhuli wao. Matokeo yake hela zao zimeliwa project yao imedoda na kufa kifo cha mende, sasa kila mtu anajua na kuelewa kuwa its CCM and State sponsored project😂😂😂
Sasa wananchi wanajua Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa ndo imeratibu suala la Mchome kuandika barua ili Msajili ajaribu kuifuta Sekretarieti ya Chadema.
Sasa Wananchi wanajua zimetolewa hela kuwahonga watu Chadema ili wajiondoe na wahamie vyama vingine kutengeneza propaganda kwa Wananchi kuwa Chadem inakufa.
Tangu Chama cha Mapinduzi kianzishwe mwaka 1977 hakuna mwaka ambao Chama hiki kimeabika na mipango yao kufumuliwa waziwazi kama mwaka huu.
Huko Kagera Katibu Mwenezi wa CCM maji ya shingo hadi ameanza kuongea na kuropoka mambo ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chadema. Jambo linalothibitisha wazi maneno yaliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani kuwa suala la Barua ya Msajili ni hila zinazofanywa na CCM pamoja na System dhidi ya Chadema.
Poleni sana CCM, Poleni sana TISS.
Kwa TISS najua mwaka huu mtajifunza jambo kubwa sana. Jambo hilo ni kuachana na siasa za CCM na kukilinda chama cha Mapinduzi na kujikita kwenye masuala ya msingi kama usalama wa nchi kwenye mambo ya fedha, uchumi, kijeshi na Biashara.
Dunia imebadilika sana. Mnavyozidi kujihusisha na CCM sio tu mnaonesha kuwa ni Idara ya watu wasio na akili bali hamstahili ya kuitwa Idara ya Usalama wa Taifa katika Karne hii ambayo nchi inatakiwa kujikita kwenye masuala ya msingi kwa ajili ya maendeleo yake na ya wananchi wake.
View attachment 3338502
Nini kimetokea huko?Anaaibika vibaya kwa Wahaya huko
Chukua chako mapema toka chama cha majiiizi na machaawa.Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati!

Wakati anaongelea changamoto za zao la kahawa, unaona kabisa wananchi wanamshangaa.Anaaibika vibaya kwa Wahaya huko
umeelewa mukhtadha lakini au unaooa uzwazwa tu?Acha uzwazwa. Wapi Tanzania wananchi wana nguvu ya kuchagua vyama vya kuwaongoza?
Wananchi wa Tanzania wanaamliwa waongozwe na nani na CCM. Hakuna kura ya mwananchi Tanzania hii inayoheshimiwa na kuhesabika.