Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

CCM ipo hoi, bila polisi na dola hawawezi Kushida uchaguzi
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Mwaka huu matakwa ya umma hayazuiliki kama walivyozoea huko nyuma..
Hayo maneno ya Mwalimu Nyerere, ni kama alijuwa haya yaliyotokea na Samia; kwenye huo mkutano wao wakati "Genge" lilipomteua Samia Suluhu Hassan.

Na utabiri huo wa Mwalimu, sasa unakwenda kutimia.
 
Mkutano wa Makala kagera wameamua kuweka viti at least kuonesha kuna space watu walikuwepo maana hakuna wananchi wanaoenda kuwasikiliza zaidi ya hao wanaowabeba kwenye Magari.

Kweli Biashara ishakuwa ngumu hii🤣🤣🤣
Na ukiangalia vizuri, ni kama wote ni wanachama wa CCM ndio wanao hudhuria mikutano hiyo. Hakuna waTanzania wasiokuwa wana CCM wanaohangaika kwenda kwenye mikutano hiyo!
Hili lina maana kubwa sana.
 
Unajuwa ubovu unako anzia?

Jikumbushe jinsi Samia Suluhu Hassan alivyo pata shida kujaza nafasi ya kiongozi wa taasisi hiyo. Alihangaika hivyo kwa sababu alikuwa anatafuta mtu wa kumfanyia kazi yake siyo kazi ya taifa hili.
Kwa hiyo kiongozi wa taasisi hiyo muhimu yupo pale kulinda maslahi ya mteuzi wake. Hali ni hiyo hiyo, TCRA na Mkurugenzi wake; Jaji Mkuu na Mahakama; Hamza Johari, Mwanasheria Mkuu wa serikali; na wengi wengine. Hili Ndilo Genge la Askari wa Samia, analolitegemea kumbakisha madarakani kwa njia yoyote ile, hata iwe ya kuua waTanzania.

CCM, kama chama, sasa hivi inatumiwa tu kama ngao ya hawa kufanya uchafu wao.
 
Ukimuuliza nyumbu huyu wa lissu kaandika nini' haswa huwezi kupata jibu. Kimsingi Sasa hv nyumbu wa chadema chakavu wamekuwa kama wamekatwa vichwaaa.
 
Chukua chako mapema toka chama cha majiiizi na machaawa.
 
Acha uzwazwa. Wapi Tanzania wananchi wana nguvu ya kuchagua vyama vya kuwaongoza?

Wananchi wa Tanzania wanaamliwa waongozwe na nani na CCM. Hakuna kura ya mwananchi Tanzania hii inayoheshimiwa na kuhesabika.
umeelewa mukhtadha lakini au unaooa uzwazwa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…