Kabisa mkuu, sema tumeshindwa kurithishana, mzazi anaweza kuwa na biashara fulani, akifariki na biashara inakufa, Watoto wanaaza kutafuta hela upya.Watanzania tunatakiwa kufanya biashara zenye potential za kutufuqnya matajiri huko bqadae hata kama unaanza kidogo.
Sijui kwa nini, Asilimia nyingi huwa tunaishia vibiashara vidogo vidogo.