Biashara Kuu za Mtu Mweusi

Biashara Kuu za Mtu Mweusi

Watanzania tunatakiwa kufanya biashara zenye potential za kutufuqnya matajiri huko bqadae hata kama unaanza kidogo.
Kabisa mkuu, sema tumeshindwa kurithishana, mzazi anaweza kuwa na biashara fulani, akifariki na biashara inakufa, Watoto wanaaza kutafuta hela upya.
 
Shida nawewe hujatoa elimu , kama hizo ndo biashara za mtanzania , hivyo aziache afanye biashara zipi?
• Ndo maana, nimeleta hapa jukwaani tujadili kuhusu hili mkuu,
• Nimetoa na mifano baadhi ya matajiri Hapa Africa
 
japo hawakosekanagi wa kupinga ila 90% ndo ivo, imagine mtu hta milo miwili ni pasua kichwa huo mtaji wa milion 100 wa kuanzishia biashara kubwa anautoa wp sana ataangukia kwenye biaxhara ya pipi,biskut,maji & sigara
 
Kaka, Kwasehemu kubwa nchi za kiAfrika ni maskini na umaskini unazaa umaskini kama ilivyo kwa utajiri. Uchumi wa nchi ukiwa mkubwa kila mtu anafayabiashara ni rahisi kuwa tajiri mkubwa kwa sababu pesa ipo...pili umaskini unasabaisha tunakua na culture za kimaskini ambazo ni vigum kuziepuka hata nafasi zikiwa mbele yatu
 
Back
Top Bottom