TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Katika kauli sipendi kisikia ni "nitajaribu" usipende kutumia kauli hiyo kwenye sensitive issues kama hapo kwenye business kijana.Nitajaribu kuweka mifumo ya kudhibiti mapato na matumizi
Hapo ni kumwambia huyo binti msimamo wako ni 1,2,3..., otherwise tusilaumiane.
Akikwambia "kumbe hunipendi" mwambie upo sahihi biashara haikupendi ila mimi nakupenda, usicheze na hii biashara.
