Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Soma comments za wakurungwa wa bongo kuhusu andiko la mtanzania marekaniNimecheka Hadi chozi limenitoka na watanzania awapendi kuambiwa ukweli wao wanataka kuambiwa ki motivation kuwa ughaibuni Kuna mamilioni 😭😭 matokeo yake mtu anaenda kichwa kichwa bila taarifa sahihi mambo yakiwa tofauti wanaanza kujuta huku wakiwa wamepoteza sana muda...! Mimi nimeamua kuwa muwadhi kwani taarifa kama hizi siku zipata kabla sijaondoka.
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota
Na kunatabu ya maji Ile mbaya Bill unalipa kubwa vimaji vinadondoka kwenye tape mpaka ujaze lita 10 sio leo, tape la kuoga ni matone yanadondoka baba sasa jichanganye umwage shower jelly nyingi utachezea povu hapo bafuni mpaka uzirai