Biashara ndio kitu pekee mbadala wa AJIRA

Biashara ndio kitu pekee mbadala wa AJIRA

Nimecheka Hadi chozi limenitoka na watanzania awapendi kuambiwa ukweli wao wanataka kuambiwa ki motivation kuwa ughaibuni Kuna mamilioni 😭😭 matokeo yake mtu anaenda kichwa kichwa bila taarifa sahihi mambo yakiwa tofauti wanaanza kujuta huku wakiwa wamepoteza sana muda...! Mimi nimeamua kuwa muwadhi kwani taarifa kama hizi siku zipata kabla sijaondoka.​
Ungezipata usingeondoka?
 
Kuna nchi Zina pay kwa masaa na Zina ruhusu kufanya zaidi ya kazi moja.
Kuna wachache wamebahatika kupata kazi kwenye makampuni makubwa ya kimataifa na wanalipwa mishahala ya kimataifa ila hao ni wachache mno...! Walio Baki ni wakina sisi wabeba maboksi...! Na wafagia Barabara​
Bado hailipi kubeba boksi? Mshahara kias gan wa kaz hizo kwa kima cha tshilingi?
 
Kuna namna hata maisha hayakupi unachokitaka. Na kupata mafanikio kwa njia halali ni ngum sana mana uta"PANUA KILA KITU" ukifa' maskhara.

Muhimu ni kukubali slow growing.. na hakuna urahis utakaopatikana kwa kazi ambazo ni less valued. Mwakai juz kuna mwanang alijionaga makini sana baada ya kuajiriwa private firm mshahara laki 3. Alishangilia mana alikuwa haipati... miksa kucheka kusoma sio kufanikiwa

Ana miaka mi3 toka aajiriwe mpaka leo hata kitanda kimemshinda analalia godoro chini vilevile. Hata matunda hali na kila tareh 26 lazima anipigie sim kuomba sapot hela ya kula siku hiyo!

Young ages must change priorities intact.
 
Niagize chochote Dubai



Uyu jamaa kwenye thread zote ana lia Noki afu ndo utegemee nku tumie pesa yangu uni agizie kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niagize chochote Dubai



Uyu jamaa kwenye thread zote ana lia Noki afu ndo utegemee nku tumie pesa yangu uni agizie kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhando amestress over! Hata akirudi bongo akapewa wizara aiongoze haimtoshi. Hili ni tatizo kama matatizo mengine. Mm naona aanze kutibu mood disorder kwanza... mana kila siku analia Panama!
Bongo sio kaomba kupelekwa dubai kapelekwa. Na sasa hiv hapamtoshi
 
Back
Top Bottom