Biashara ndio kitu pekee mbadala wa AJIRA

Soma comments za wakurungwa wa bongo kuhusu andiko la mtanzania marekani
 
Walioko ughaibuni na kuajiriwa halafu wanatuma pesa za maendeleo Tanzania kwa ndugu zao, kwani wao wanawezaje?
Kuna nchi Zina pay kwa masaa na Zina ruhusu kufanya zaidi ya kazi moja.
Kuna wachache wamebahatika kupata kazi kwenye makampuni makubwa ya kimataifa na wanalipwa mishahala ya kimataifa ila hao ni wachache mno...! Walio Baki ni wakina sisi wabeba maboksi...! Na wafagia Barabara​
 
Ngoja nipitie siku wahi kuuona huo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…