Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
- Thread starter
- #141
Sijui,nipe mwongozoKitu cha kwanza unapotaka kufanya biashara kitu cha kwanza ni lazima uijue hiyo biashara kwa kufanya utafiti wa soko wa hiyo biashara, uwajue washindani wako nguvu zao na mapungufu yao vs nguvu zako na mapungufu yako pia inatakiwa uwajue wateja wao na wateja taraji wa kwako baada ya hapo inatakiwa uwe na andiko la mpango wako wa biashara je unajua kuandika mpango wa biashara?