Sijui,nipe mwongozoKitu cha kwanza unapotaka kufanya biashara kitu cha kwanza ni lazima uijue hiyo biashara kwa kufanya utafiti wa soko wa hiyo biashara, uwajue washindani wako nguvu zao na mapungufu yao vs nguvu zako na mapungufu yako pia inatakiwa uwajue wateja wao na wateja taraji wa kwako baada ya hapo inatakiwa uwe na andiko la mpango wako wa biashara je unajua kuandika mpango wa biashara?
Nipe muda nikutengezee dodoso ambalo ukillijubu litakuwa ndiyo andiko lako la biashara kama uko Morogoro nitafute, mimi naandika kitabu cha ujasiriamaliSijui,nipe mwongozo
Imeisha hiyo, uje nikuelekeze kwanini biashara zinakufa na nini kifanyikeTupo jirani
Tupo jiraniNipe muda nikutengezee dodoso ambalo ukillijubu litakuwa ndiyo andiko lako la biashara kama uko Morogoro nitafute, mimi naandika kitabu cha ujasiriamali
Vizuri tupeane maarifa kwenye media, niko bize na majukumuImeisha hiyo, uje nikuelekeze kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike
Ni biashara aina gani, there is general purpose business planTupo jirani
Vizuri tupeane maarifa kwenye media, niko bize na majukumu