Biashara noma sanaa, unataka kujiona hufanyi kitu kwenye biashara? Ingia Instagram cheki biashara za wenzako..!!!

Biashara noma sanaa, unataka kujiona hufanyi kitu kwenye biashara? Ingia Instagram cheki biashara za wenzako..!!!

Usiwe na hasira sana boss mengine ni kuchamsha mada na genge ila tunapambana Kila kukicha
Hakuna mwenye hasira ila tunafundishana.

Usikate tamaa

Kifupi UWE NA PESA, utazipata kanisani, msikitini au kwa mganga ""IS YOUR CHOICE.""

Watu wanahitaji matokeo hawanashida na hustle zako.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Unamiliki kampuni ila unakuwa na brand name.
Hivyo biashara zote zinakuwa kwa brand name na jina la kampuni linakuwa halisikiki .....

JF company = Company name, huyu atamiliki ....
1. Mbunyee Oil station
2. Mbunyee Classic wear
3. Mbunyee Depot
4. Mbunyee transport

#YNWA
#YANGA_BINGWA

So hizo brand names, tuseme ni kama 'subcompany' hivi?

Hizo brand names unasajiri pia? Brela?

Masuala ya Kodi (tra) unafanya clearance chini ya Kampuni kuu? ama kwa kila brand name?
 
So hizo brand names, tuseme ni kama 'subcompany' hivi?

Hizo brand names unasajiri pia? Brela?

Masuala ya Kodi (tra) unafanya clearance chini ya Kampuni kuu? ama kwa kila brand name?
1. Brand name unasijili ndio BRELA ili lisije kuibiwa na mtu
2. Kodi inalipwa na kampuni mama.
3. Ni brand name na sio sub-company

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Iga vichache ambavyo una uwezo navyo mkuu.

Kwenye maisha binadamu ni waongo mno, kipindi naanza anza job mahali fulani nilikua naona wafanyakazi wenangu wako vizuri kweny nyanja nyingi, hii ni kutokana na story zetu za hapa na pale. Nikidhani performance zao ni juhudi zao kweli bila magumashi..

Aloo kumbe ni wazee wa kufoji mambo kibao.. hamna cha ubora wala nini, ni wazee wa fix nyingi na show off.
 
We naona sasa umeahayajua maisha. Hawa kula kulala bure picha za insta tu zinawachanganya hadi wanaleta uzi
 
Ongeza juhudi tu mkuu, nakutakia mafanikio mema kuna wengine tunaagiza mzigo kwenye gunia moja🤣na tunajiona tumefanya kitu cha maana

Ebu jishukuru kwahiyo hatua just imagine mimi mauzo yangu kwa siku kwa biashara zangu zote mbili ni 30k Aya toa chakula 10k wategemezi huwa nabaki na 10k tu mzee

Hio milion mbili mim kuipata labda nikae miezi mitatu wewe una kusanya 2M minimum per day

Mshukuru sana Mungu kwa hiyo
Hatua
 
Anapiga sound tu hana lolote. Mtu anayefanya biashara na kuingiza 2-7M kwa siku asingekuwa anakata mauno pale Mbeya Pazuri ili apewe offer ya bia wakati wa 88😀😀
Unataka nitaje jina la biashara ili iweje?
Kwani principle za anonymous za JF ni ngeni kwako?

Anyway:-
Nipo Tunduma muda huu braza.
Njooo man nikukatikie na wewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom