Businesses is better than investing?
Msome Robert Kiyosaki
Ametofutisha vizuri kati ya businesses, investment, asset na liability kusema ukweli wewe uko vizuri sema unahitaji kuchwa kimoja kiwe meneja halafu wewe zama chimbo kutafuta masoko mapya au uwekezaji mpya
Naomba nikusahihishe
Investing ni BORA kuliko biashara.
Biashara ni kuwa na duka
Uwekezaji ni kuwana channel itakayobtengeneza pesa milele pata picha my anagorofa pale posta lenye frem zaidi tmya 100 anakula Kodi, haitaji Tena purukushani za mahesabu makali Kama biashara.
Narudia Tena upo vizuri wewe ni mfanyabiashara wa kati hongera usiache mapambano achana na show of Kama unaweza Anza biashara ya kujenga nyumba za kupangisha sio lazima ziwe kalinsana za kawaida tu hizo ndizo biashara za Robert Kiyosaki na Dornad Trump
Vitabu vya Robert Koyasaki na Mkewe nimesoma kibao....
1. Rich Dad Poor Dad
2. Four Quadrants
3. Na kile cha Trump na Koyasaki walichoshirikiana ""nimesahau jina lake""
Lakini pia nimesoma vitabu vya wengine kibao (nasikitika ile extenal storage yangu ilipotea, ninge view majina mule nikutajie vyotee vitabu vya Finance, business na Investment nilivyosoma, maana mimi kusahau majina ya vitabu NIKO VIZURI)
Tukirudi kwenye Investment Vs Business.
Kwanini biashara ni bora kuliko investment?
Fungua biashara, kaa hapo hata miezi miwili, halafu weka mifumo ya ulinzi (CCTV) na mauzo program ya accounting (iwe online na offline)
Halafu, we kula bata au take longggg holiday.
Kazi yako itakuwa ni kila jioni ukiwa sehemu umetulia na kurelax unachukua ka-laptop chako unavuta report za program yako ya biashara zako, basi mambo yanaendaaaa.
Report zitakujuza kila kitu ukitakacho.
Lakini kuniambia nijenge nyumba ya Mil 50 ili kila mwezi ni zalishe laki 4 mpaja 7 kodi, mi nitakwambia, nipe hiyo mil 50 halafu baada ya miaka mi3 njoo uone kama sijai multiply by more than 2.
#YNWA
#YANGA_BINGWA.