Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #41
Hakuna mwenye hasira ila tunafundishana.Usiwe na hasira sana boss mengine ni kuchamsha mada na genge ila tunapambana Kila kukicha
Wisdom is to do bothInvest in active income and not in passive income.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unamiliki kampuni ila unakuwa na brand name.
Hivyo biashara zote zinakuwa kwa brand name na jina la kampuni linakuwa halisikiki .....
JF company = Company name, huyu atamiliki ....
1. Mbunyee Oil station
2. Mbunyee Classic wear
3. Mbunyee Depot
4. Mbunyee transport
#YNWA
#YANGA_BINGWA
1. Brand name unasijili ndio BRELA ili lisije kuibiwa na mtuSo hizo brand names, tuseme ni kama 'subcompany' hivi?
Hizo brand names unasajiri pia? Brela?
Masuala ya Kodi (tra) unafanya clearance chini ya Kampuni kuu? ama kwa kila brand name?
1. Brand name unasijili ndio BRELA ili lisije kuibiwa na mtu
2. Kodi inalipwa na kampuni mama.
3. Ni brand name na sio sub-company
#YNWA
#YANGA_BINGWA
πNimecheka kama mngese
We naona sasa umeahayajua maisha. Hawa kula kulala bure picha za insta tu zinawachanganya hadi wanaleta uziIga vichache ambavyo una uwezo navyo mkuu.
Kwenye maisha binadamu ni waongo mno, kipindi naanza anza job mahali fulani nilikua naona wafanyakazi wenangu wako vizuri kweny nyanja nyingi, hii ni kutokana na story zetu za hapa na pale. Nikidhani performance zao ni juhudi zao kweli bila magumashi..
Aloo kumbe ni wazee wa kufoji mambo kibao.. hamna cha ubora wala nini, ni wazee wa fix nyingi na show off.
Acha mambo ya us nitch, ajulikane atekwe? Mil7 kwa siku si kidogo.Biashara si ni matangazo, weka hapo hio insta page Yako Wana jf tukupe support
Nani kula kulala?Hawa kula kulala bure picha za insta tu zinawachanganya hadi wanaleta uzi
Nani kula kulala?
Unanitaa mwenye kampuni yangu ni KULA KULALA?
Kuna watu mnaongelea kum(a) badala mtumie mdomo au??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Anapiga sound tu hana lolote. Mtu anayefanya biashara na kuingiza 2-7M kwa siku asingekuwa anakata mauno pale Mbeya Pazuri ili apewe offer ya bia wakati wa 88ππBiashara si ni matangazo, weka hapo hio insta page Yako Wana jf tukupe support
Kumbe unajidai mali za mwanaume mwenzako uko sawa kweli? Tafuta zako dogoNani kula kulala?
Unanitaa mwenye kampuni yangu ni KULA KULALA?
Kuna watu mnaongelea kum(a) badala mtumie mdomo au??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umeelewa nilichoandika braza?Kumbe unajidai mali za mwanaume mwenzako uko sawa kweli? Tafuta zako dogo
Unataka nitaje jina la biashara ili iweje?Anapiga sound tu hana lolote. Mtu anayefanya biashara na kuingiza 2-7M kwa siku asingekuwa anakata mauno pale Mbeya Pazuri ili apewe offer ya bia wakati wa 88ππ
Mpe mtu haki yake aliyokupa.Unajishushia credit mkuu matusi ya nini Sasa? Afu unabrag-docio nyingi sana