Biashara noma sanaa, unataka kujiona hufanyi kitu kwenye biashara? Ingia Instagram cheki biashara za wenzako..!!!

Nime cheka kise...nge, eti wazee wa kufoji foji.

ewe Vishu Mtata katibu wa banyeta, u hali gani kaka yangu.
 
Ur greed itakufanya ushindwe kufocus na biashara yako Biashara ni namba unaweza ona anaangiza kontena kumbe maden meng kuliko assets.. Biashara ujue inaenda mwambie aweke financial statements sio kwa kuangaliaa tu bila fact..
 
We naona sasa umeahayajua maisha. Hawa kula kulala bure picha za insta tu zinawachanganya hadi wanaleta uzi
Amna ni kawaida mkuu, tunajifunza kila siku.
Kila mtu ni mgeni pahala fulani ila kwasasa siwaamini binadamu.
Na wananifundisha na mimi kua muongo muongo kama wao maana bila hivyo utaonekana wa hovyo
 
Honestly mtandaoni
Kunaweza kujenga biashara ila pia kuna ujanja wa watu kutengeneza content za kujenga brand..
Ukiweza kufanikisha hili litakupa wafuasi kibao watakaokuamini, na kupata wateja watiifu pia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu ulipotelea wapi ??
Nipo mkuu
Hizo mambo niliacha, rafiki yangu Poor Brain alinipa mbinu ya kupata mishangazi sasa hivi nateleza tu.
Endelea kuteleza hv hvo ila kuwa makini πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Businesses is better than investing?
Msome Robert Kiyosaki
Ametofutisha vizuri kati ya businesses, investment, asset na liability kusema ukweli wewe uko vizuri sema unahitaji kuchwa kimoja kiwe meneja halafu wewe zama chimbo kutafuta masoko mapya au uwekezaji mpya
Naomba nikusahihishe
Investing ni BORA kuliko biashara.
Biashara ni kuwa na duka
Uwekezaji ni kuwana channel itakayobtengeneza pesa milele pata picha my anagorofa pale posta lenye frem zaidi tmya 100 anakula Kodi, haitaji Tena purukushani za mahesabu makali Kama biashara.
Narudia Tena upo vizuri wewe ni mfanyabiashara wa kati hongera usiache mapambano achana na show of Kama unaweza Anza biashara ya kujenga nyumba za kupangisha sio lazima ziwe kalinsana za kawaida tu hizo ndizo biashara za Robert Kiyosaki na Dornad Trump
 
Ukubwa wa page ya insta sio ukubwa wa biashara....
For as long unafika targets zako za mwezi na mwaka you are good...
Sio kila king'aacho ni dhahabu
 
Vitabu vya Robert Koyasaki na Mkewe nimesoma kibao....
1. Rich Dad Poor Dad
2. Four Quadrants
3. Na kile cha Trump na Koyasaki walichoshirikiana ""nimesahau jina lake""

Lakini pia nimesoma vitabu vya wengine kibao (nasikitika ile extenal storage yangu ilipotea, ninge view majina mule nikutajie vyotee vitabu vya Finance, business na Investment nilivyosoma, maana mimi kusahau majina ya vitabu NIKO VIZURI)

Tukirudi kwenye Investment Vs Business.
Kwanini biashara ni bora kuliko investment?

Fungua biashara, kaa hapo hata miezi miwili, halafu weka mifumo ya ulinzi (CCTV) na mauzo program ya accounting (iwe online na offline)

Halafu, we kula bata au take longggg holiday.

Kazi yako itakuwa ni kila jioni ukiwa sehemu umetulia na kurelax unachukua ka-laptop chako unavuta report za program yako ya biashara zako, basi mambo yanaendaaaa.

Report zitakujuza kila kitu ukitakacho.

Lakini kuniambia nijenge nyumba ya Mil 50 ili kila mwezi ni zalishe laki 4 mpaja 7 kodi, mi nitakwambia, nipe hiyo mil 50 halafu baada ya miaka mi3 njoo uone kama sijai multiply by more than 2.

#YNWA
#YANGA_BINGWA.
 
Kwakwel mbona kina sie tunapata ugumu kuuza kuwa nawateja kibao kama hao uwasema wa ista,TikTok ...mtu anakwambiacanauza magari 3 kwasiku au mtu anauza m10+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…