Biashara nyingi za Tanzania ni zama za mawe. Natoa mfano wa mabucha ya nyama

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.

Kama unataka za dini zako zipo.

Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.

Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.

Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.

Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.

Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.

Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.

Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
IMG_1471.jpeg
 
Mkuu hii ni kweli kabisa hata hapa kwetu mbona ipo.. Oyster Bay kuna bucha pale kituo cha bakhersa ukishuka unavuka nyama zime tenganishwa.. Kuna Soup Borne inauzwa kilo buku mbili unachagua kwenye friji ni mifupa ya supu tuu..
 
Pia kanuni za Afya hazijazingatiwa kabisa,nyama iko uchi uchi na nzi kibao..🗑
 
Hii ya utumbo kukaa nje ya frem la biashara husika nalo mkaliangalie...nzi ni wengi sana na ukute yule anaefukuza nzi amejisahau
 
Mkuu hii ni kweli kabisa hata hapa kwetu mbona ipo.. Oyster Bay kuna bucha pale kituo cha bakhersa ukishuka unavuka nyama zime tenganishwa.. Kuna Soup Borne inauzwa kilo buku mbili unachagua kwenye friji ni mifupa ya supu tuu..
Yule msouth africa yule Well proffesional kwenye mambo ya nyama

Ova
 
Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.

Kama unataka za dini zako zipo.

Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.

Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.

Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.

Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.

Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.

Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.

Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352
Uko wapi?

Maana naona una-generalise sana.

Mimi kwetu, ukifika buchani unachagua, Utumbo, maini, mchanganyiko au stake.

Ni maamuzi yako na bei zinatofautiana.

Nilipoenda Kilimanjaro ndjo nikakuta huo utaratibu, wa ukinunua nyama unachanganyiwa kila kitu humo humo ili nyama yote iishe kwa pamoja.

Na Kilimanjaro, hawapendi maini, huku hayana soko.
 
Utanunua kilo 17K
 
Mkuu hii ni kweli kabisa hata hapa kwetu mbona ipo.. Oyster Bay kuna bucha pale kituo cha bakhersa ukishuka unavuka nyama zime tenganishwa.. Kuna Soup Borne inauzwa kilo buku mbili unachagua kwenye friji ni mifupa ya supu tuu..
Mifupa mnakulaje Nyie wa O'bay?
 
Uko wapi?

Maana naona una-generalise sana.

Mimi kwetu, ukifika buchani unachagua, Utumbo, maini, mchanganyiko au stake.

Ni maamuzi yako na bei zinatofautiana.

Nilipoenda Kilimanjaro ndjo nikakuta huo utaratibu, wa ukinunua nyama unachanganyiwa kila kitu humo humo ili nyama yote iishe kwa pamoja.

Na Kilimanjaro, hawapendi maini, huku hayana soko.
Umeshasafiri au unashiriki mada.
Unafahamu maana kujua hii maana ya nyama na bei zake.hata kama ni nyama moja.
IMG_1472.jpeg
 
Zanzibar wamejiweza kidogo huku mabucha mengi sana raia wananunua steki tu... yaani bucha zinatenga steki na mfupa na bei ni tofauti kabisa.. ukienda buchani atakwambia nshaishiwa steki nimebaki na mfupa tu...
 
Back
Top Bottom