Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.
Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.
Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.
Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.
Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352