Yule msouth africa yule Well proffesional kwenye mambo ya nyamaMkuu hii ni kweli kabisa hata hapa kwetu mbona ipo.. Oyster Bay kuna bucha pale kituo cha bakhersa ukishuka unavuka nyama zime tenganishwa.. Kuna Soup Borne inauzwa kilo buku mbili unachagua kwenye friji ni mifupa ya supu tuu..
Uko wapi?Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.
Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.
Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.
Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.
Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352
Utanunua kilo 17KWenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.
Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.
Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.
Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.
Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352
Mifupa mnakulaje Nyie wa O'bay?Mkuu hii ni kweli kabisa hata hapa kwetu mbona ipo.. Oyster Bay kuna bucha pale kituo cha bakhersa ukishuka unavuka nyama zime tenganishwa.. Kuna Soup Borne inauzwa kilo buku mbili unachagua kwenye friji ni mifupa ya supu tuu..
Umeshasafiri au unashiriki mada.Uko wapi?
Maana naona una-generalise sana.
Mimi kwetu, ukifika buchani unachagua, Utumbo, maini, mchanganyiko au stake.
Ni maamuzi yako na bei zinatofautiana.
Nilipoenda Kilimanjaro ndjo nikakuta huo utaratibu, wa ukinunua nyama unachanganyiwa kila kitu humo humo ili nyama yote iishe kwa pamoja.
Na Kilimanjaro, hawapendi maini, huku hayana soko.