kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Usije kumfanya lucas mwashamba kushiriki mada baada ya kumtaja mama ng’ombe.Sasa supu za jero na buku buku huko buguruni na mbagala nyama kichele unategemea hiyo ni nyama gani ? Hizo ni vibudu, na wale ndama wanaokutwa tumboni mwa mama pindi anapochinjwa ng'ombe,,,, unashangaa nyama laini kis***e kumbe ni kandama 😃
Nyama na bei zake kwa mujibu wa nani?Umeshasafiri au unashiriki mada.
Unafahamu maana kujua hii maana ya nyama na bei zake.hata kama ni nyama moja.
View attachment 3351356
Unachinja ng'ombe na kuku?.Mimi Huwa nachinja mwenyew, Mambo ya kuuziwa nyama ya last month sitaki.
Ni kitu gani hiki mheshimiwa mbona sikitambui naomba muongozo wakoNilikuta.ila ilikuwa picha kwenye kifungashio USA
View attachment 3351353
Dah….! Ila bucha za Kibongo,mmmh….!Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.
Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.
Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.
Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.
Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352
Kilo shingapi?Nilikuta.ila ilikuwa picha kwenye kifungashio USA
View attachment 3351353
Pia kanuni za Afya hazijazingatiwa kabisa,nyama iko uchi uchi na nzi kibao..🗑
mifupa ya supu wewe kilaza ..fanya jaribio chukua steki tupu chemsha na nyama mchanganyiko nayo chemsha kivyake then onja supu ladha ni mbili tofauti.Mifupa mnakulaje Nyie wa O'bay?
Swa watu wa O'baymifupa ya supu wewe kilaza ..fanya jaribio chukua steki tupu chemsha na nyama mchanganyiko nayo chemsha kivyake then onja supu ladha ni mbili tofauti.
Mkuu huwa unachinja kuku?Mimi Huwa nachinja mwenyew, Mambo ya kuuziwa nyama ya last month sitaki.
Naomba picha ya bucha la ulayaWenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama ni mbavu,mifupa,steki,kiuno,nyama ya supu,nyama kuchoma na n.k kukutwa vimetenganishwa.
Hapa kwetu hata nyama zinatotakiwa kupewa mbwa unaweza kukuta kwenye kilo yako kujazilizia.
Sheria za utowaji leseni kuna umuhimu sasa wa kuchambua nyama na ubora ili watu wanapofika buchani kama anataka mifupa hapate bei yake.
Kama anataka steki au aina ya nyama ishakuwa teyari.
Naona mabucha mengi kukubari mabadiliko yamekuwa magumu.
View attachment 3351352
😄Naomba picha ya bucha la ulaya