Biashara siyo rahisi

Biashara siyo rahisi

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa.

Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani kujiajiri kwa kifupi fikiria kuamka saa 9 usiku kufata samaki Feri. Halafu kupeleka uji usiku wa manane Sterio kuwauzia wanaoshusha mzigo, mlioajiriwa heshimuni wafanyabiashara aisee.

Waliojiajiri muwaite tu wachawi
maana wanayofanya ni miujiza, kwenye ajira huwezi kuta. Yaani wewe saa 10 tu mchana upo njiani au ushafika home, hadi kesho saa 2 au moja na nusu asubuhi.

Kwenye biashara hakuna kulala na ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
 
Huu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.

Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajui mimi ninavyopambana kusaka pesa.
 
Nimeamini ndo maana wafanya biashara ninawaonaga wachoyo hawatoi kumi yao
Biashara ina tuvimambo flani flani uwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa.
Aisee
Biashara si jambo jepesi
Yaani kujiajiri kwa kifupi
Inagne kuamka saa 9 usiku kufata samaki feri.
Alafu kupeleka uji usiku wa manane sterio kuwauzia wanaoshusha mzigo
Mlioajiriwa heshimuni wafanya biashara aisee
Waliojijari muwaite tu wachawi
Maana wanayofanya ni miujiza kwenye ajira uwezi kuta
Yaani wewe saa 10 tu mchana upo njiani au ushafika home.
Hadi kesho saa 2 au moja na nusu asubuhi.
Kwenye biashara hakuna kulala na

ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
Ukichoeleza kama mifano sio biashara. Ni uchuuzi tu.
 
masai dada soma hii mada yangu please utaelewa kitu;

Kwenye biashara hakuna kulala na

ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
Ajira zinatofautiana pia!

Niamini mimi, kuna waajiriwa huwa wanalaza mgongo kitandani sio kumaanisha kulala!

Na kuna wafanyabiashara kwa level tofauti, umemzungumzia wa level hiyo, kuna yule ambaye tayari yeye PESA INAMTUMIKIA yeye, huyo si sawa na huyo anayeitumikia pesa.

Usisahau Nehemia Mchechu, Maharahe Chande na the like ni waajiriwa, Bakhresa, Manji, GSM ni wafanyabiashara; hawa wote wanalalia magodoro bora kabisa, pengine kwa usingizi mnono na wasipoupata, wanaulazimisha kwa madawa.
 
Wafanya biashara wakubwa hawalali labda kama Mo alidanganya.
Wana mavikao kama 100 kwa siku
 
Noma Sana Kuna kuanguka Hadi unafeel kuacha kabisa biashara.
Kila siku kujifariji na kujiambia ipo siku ipo siku.... Hadi pale tunatimiza jambo sio mchezo.
Nimeamin maumivu Yale ni shule.
Kujiajiri ni shule....asikwambie mtu
Kama ndo biashara zetu hizi
Wewe wewe mueka hazina,meneja,mkurugenzi.,internal auditor. Hahahaha hatari
 
masai dada soma hii mada yangu please utaelewa kitu;

Niliusoma...kujiajiri ni nidhamu pekee ndo itakutoa
 
Huu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.

Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajua mimi ninavyopambana kusaka pesa.
Izo ni Kik tu na defensive mechanism kila kona Kuna biashara mkinga ndo Nan?
 
Back
Top Bottom