masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #21
Utumwa wa NEEMIA wa nyumba zile mi nautakaLakini si tulikubaliana ajira ni utumwa jamani?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa wa NEEMIA wa nyumba zile mi nautakaLakini si tulikubaliana ajira ni utumwa jamani?😂
Waajiriwa mnazo favours nyingi.Unaweza pia kumkuta mwajiriwa ana shift za usiku.
Watu wengi ambao hawafanyi biashara hudhani wafanya biashara karibia wote kama sio wote ni wachawiHuu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.
Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajua mimi ninavyopambana kusaka pesa.
Hiyo sio biashara. Ni uchuuzi na haina tofauti na kuajiriwa.Waajiriwa mnazo favours nyingi.
Kuwa na shift siyo shida the issue ni ukiwa mfanyabiashara hakuna likizo likizo yako ni kutokee tatizo au uumwe.
Mi niashangaaAsante kwa kutufariji!!!
Maana mabaya yote tumetupiwa wafanyabiashara,utasikia "hawalipi kodi,ukifanikiwa kidogo kwenu asife mtu utasikia keshauwa ndugu ili azidi kufanikiwa etc etc”.
Hii inatokana na kuwa watanzania wengi ni wavivu. Haya unayoelezea hapa ya kutopata muda wa kupumzika ni maisha ya kawaida kabisa kwa nchi zilizoendelea. Nashangaa Bongo mtu anatoka kazini anapata muda wa kupitia Bar na anachelewa kulala huku kesho yake anakwenda kazini. Akifika kazini break ya chai ni lisaa limoja, lunch masaa mawili huku muda wote anaokuwa ofisini anasinzia.Nimeamini ndo maana wafanya biashara ninawaonaga wachoyo hawatoi kumi yao
Biashara ina tuvimambo flani flani uwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa.
Aisee
Biashara si jambo jepesi
Yaani kujiajiri kwa kifupi
Inagne kuamka saa 9 usiku kufata samaki feri.
Alafu kupeleka uji usiku wa manane sterio kuwauzia wanaoshusha mzigo
Mlioajiriwa heshimuni wafanya biashara aisee
Waliojijari muwaite tu wachawi
Maana wanayofanya ni miujiza kwenye ajira uwezi kuta
Yaani wewe saa 10 tu mchana upo njiani au ushafika home.
Hadi kesho saa 2 au moja na nusu asubuhi.
Kwenye biashara hakuna kulala na
ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
Biashara ni nini?Hiyo sio biashara. Ni uchuuzi na haina tofauti na kuajiriwa.
Kama biashara haiwezi kusimama wakati wewe haupo, ujue ni uchuuzi. Bora hata kuajiriwa kunakuwa na mafao NSSF/PSSSF.
Biashara ni nini?Ukichoeleza kama mifano sio biashara. Ni uchuuzi tu.
Mlizoe ofisi za umma mnakoenda kulala na kula rushwa. Ni lazima mtaona biashara ni adhabu.Mi niashangaa
Wafanya biashara wanapambana jamani
Yaani kama kweli kuna uchawi ilitakiwa ukupunguzie mapambano ela iingie tu.
Kuna mtu alisemaga ikifika jioni miguu imevimba anasimama non stop siku nzima...
Aisee biashara ni mapambano
Wakinga uchawi ni asili yenu na mbwa wakinga woteHuu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.
Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajua mimi ninavyopambana kusaka pesa.
Ni kweli ofis za serikali ukitaka huduma unaweza tumia siku nzina hasa manispaa.Hii inatokana na kuwa watanzania wengi ni wavivu. Haya unayoelezea hapa ya kutopata muda wa kupumzika ni maisha ya kawaida kabisa kwa nchi zilizoendelea. Nashangaa Bongo mtu anatoka kazini anapata muda wa kupitia Bar na anachelewa kulala huku kesho yake anakwenda kazini. Akifika kazini break ya chai ni lisaa limoja, lunch masaa mawili huku muda wote anaokuwa ofisini anasinzia.
Kwenye biashara wanapambana ya ela yote....kama kuna uchawi afu bado ubateseka basi huo uchawi wa niniWakinga uchawi ni asili yenu na mbwa wakinga wote
Sijawah ajiriwa serikalini...Mlizoe ofisi za umma mnakoenda kulala na kula rushwa. Ni lazima mtaona biashara ni adhabu.
Unahisi wakinga hawateseki? Wachawi wakubwa haoKwenye biashara wanapambana ya ela yote....kama kuna uchawi afu bado ubateseka basi huo uchawi wa nini
Uliiacha au unaendelea nayoNi kweli kabisa,niliwai kufungua mabalo pale ilala boma sokoni.
Ile biashara nzuri sana changamoto wizi tu wa madalali.
Unaingia Sa 12 ila 11 asb uko macho kwa safari.
Sa 12 asb mnada unaanza mpk sa 2 mzigo umeisha unajua mbivu na mbichi.
Unafata mzigo wa kesho unafungia unarudi maskani yaani sa nne mpk sita uko mtaani umepozi tu kimyaa watu hawaelewi wanakuona daily upo upo tu kumbe biashara asubuhi.
Sijui kama umewahi kufika majuu lakini nakuhakikishia kuwa hiki unacholalamikia hapa majuu ndiyo maisha ya kawaida. Haijalishi wewe ni bosi au nani, unaweza kufanya kazi mpaka ukirudi nyumbani huna hamu ya kuongea na mtu. Tanzania watu ni wavivu sana. Sasa mtu anapojiajiri kwa sababu kunakuwa hakuna kutega au breki ya masaa mawili analalamika.Ni kweli ofis za serikali ukitaka huduma unaweza tumia siku nzina hasa manispaa.
Yaaani mtu katoka break ya chai lisaaa plus
Akienda lunch ndo mpaka kesho hiyo