masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #41
Ela inapatikana ila na wewe cha moto unakionaHilo life nishapitia miaka kadhaa nilikuwa natoka wilay moja kwenda nyingine namsaidia mzee kipind nimemaliza advance ,hela nilikuwa napata ila sina mda wa kulala wala kula Bata ,yaani kumi na moja niko kweny gari nilifika huko kama 12 tunachagua mzigo ila saa 5 niuleta town sema uzuri wake mzee alikuwa na wateja constant yaani akija nao town anauza unaishi wote ...sio kuanza kupanga Tena ila ule mzunguko ndo hatar wengi order wanakuja chukua usiku kama saa 4 nikirudi home mpaka saa 5 au sita nalala kesho 11 alfajiri natakiwa kwenda Tena ....dah yaani acha tu 😅😅😅😅
Unalala kama mfu