masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ukichoeleza kama mifano sio biashara. Ni uchuuzi tu.Nimeamini ndo maana wafanya biashara ninawaonaga wachoyo hawatoi kumi yao
Biashara ina tuvimambo flani flani uwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa.
Aisee
Biashara si jambo jepesi
Yaani kujiajiri kwa kifupi
Inagne kuamka saa 9 usiku kufata samaki feri.
Alafu kupeleka uji usiku wa manane sterio kuwauzia wanaoshusha mzigo
Mlioajiriwa heshimuni wafanya biashara aisee
Waliojijari muwaite tu wachawi
Maana wanayofanya ni miujiza kwenye ajira uwezi kuta
Yaani wewe saa 10 tu mchana upo njiani au ushafika home.
Hadi kesho saa 2 au moja na nusu asubuhi.
Kwenye biashara hakuna kulala na
ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
hahahahahahaLakini si tulikubaliana ajira ni utumwa jamani?😂
Ajira zinatofautiana pia!Kwenye biashara hakuna kulala na
ukilala unapiga tu mahesabu kichwani.
Nakazia ...Ukichoeleza kama mifano sio biashara. Ni uchuuzi tu.
Wafanya biashara wakubwa hawalali labda kama Mo alidanganya.Ajira zinatofautiana pia!
Niamini mimi, kuna waajiriwa huwa wanalaza mgongo kitandani sio kumaanisha kulala!
Na kuna wafanyabiashara kwa level tofauti, umemzungumzia wa level hiyo, kuna yule ambaye tayari yeye PESA INAMTUMIKIA yeye, huyo si sawa na huyo anayeitumikia pesa.
Usisahau Nehemia Mchechu, Maharahe Chande na the like ni waajiriwa, Bakhresa, Manji, GSM ni wafanyabiashara; hawa wote wanalalia magodoro bora kabisa, pengine kwa usingizi mnono na wasipoupata, wanaulazimisha kwa madawa.
Kamba hiiWafanya biashara wakubwa hawalali labda kama Mo alidanganya.
Wana mavikao kama 100 kwa siku
Kujiajiri ni shule....asikwambie mtuNoma Sana Kuna kuanguka Hadi unafeel kuacha kabisa biashara.
Kila siku kujifariji na kujiambia ipo siku ipo siku.... Hadi pale tunatimiza jambo sio mchezo.
Nimeamin maumivu Yale ni shule.
Alisema...ngoja nitakutafutia hiyo interviewKamba hii
Hahaha why jihadNi kama Jihad.
Biashara ina scaleUkichoeleza kama mifano sio biashara. Ni uchuuzi tu.
Mchana anapumzikaUnaweza pia kumkuta mwajiriwa ana shift za usiku.
Niliusoma...kujiajiri ni nidhamu pekee ndo itakutoamasai dada soma hii mada yangu please utaelewa kitu;
Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana msijidanganye; Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa. Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya...www.jamiiforums.com
Izo ni Kik tu na defensive mechanism kila kona Kuna biashara mkinga ndo Nan?Huu ni ukweli 100% na ujinga wa ngozi nyeusi ni kuamini waliofanikiwa ni washirikina, mtu akiona nina mafanikio fulani anaanza wewe kabila gani.
Nikimjibu mimi ni Mkinga anahitimisha kuwa ni mshirikina ila hajua mimi ninavyopambana kusaka pesa.