Biashara siyo rahisi

Ela inapatikana ila na wewe cha moto unakiona
Unalala kama mfu
 
sheria ya kwanza ya biashara" usiendekeze urafiki au udugu kwenye biashara ".
 
Mkuu masai dada wewe ndio ulisemaga unapenda mwanaume anayekutegemea kwa kila kitu au nimechanganya mafaili?
 
Hahaaaa ,na hapo hujapigwa kipapai bado , wazee WA Chuma ulete hawajakushughulikia bado .
Halafu kuna pimbi anawaambia graduates wajiajiri tena bila Mtaji ,
As if ni rahisi kihivyo
 
Serikalini watu ni kama hawafanyi kazi. Kuna dada mmoja alitoka serikalini akahamia benki hizi za binafsi alikuwa analalamika kila siku kuwa kazi zinawaua wakati mimi nilikuwa naona ni kazi za kawaida sana.
You are right bank tunafanya kazi mpaka basi only one hour for lunch and breakfast,esp teller inapelekea huwezi kukaa bila kazi hata kama ni likizo tumezoea kuwa busy simu pembeni kazi kazi!!
 
Nani kakudanganya bidii Tu ndio zitakutoa kwenye biashara nchi hii ? , biashara bila mentality ya kimafia na ubabe either physical na spiritual hutoboi hasa Tanzania hii ninayoijua Mimi .
Kama we ni mfanyabiashara utaelewa nililoandika , tena nchi kama Tz hii kama hutaki kuwehuka na biashara yako ukawa unatembea njiani unaongea peke yako ni lazima ufanye yafuatayo ,matajiri wote Tz walioyoboa hizi ndio Siri zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7] mfanyabiashara Tanzania kama hakwepi Kodi , anawaibia wateja Kwa kuwapunja bidhaa au huduma au kuwauzia bidhaa na huduma zenye ubora WA Chini au anatumia ndumba za kalimanzila kama hafanyi hayo basi anatumia umafia kumanipulate na kudominate soko kama hafanyi hayo basi ni mnyonyaji WA maslahi ya wafanyakazi wake kwenye hiyo biashara
Fuatilia utakuja kunishukuru
 
Ni kweli kabisa,niliwai kufungua mabalo pale ilala boma sokoni.
Ile biashara nzuri sana changamoto wizi tu wa madalali.
Unaingia Sa 12 ila 11 asb uko macho kwa safari.
Sa 12 asb mnada unaanza mpk sa 2 mzigo umeisha unajua mbivu na mbichi.
Unafata mzigo wa kesho unafungia unarudi maskani yaani sa nne mpk sita uko mtaani umepozi tu kimyaa watu hawaelewi wanakuona daily upo upo tu kumbe biashara asubuhi
Uliiacha au unaendelea nayo
Doh ni miaka 26 iliyopita😊
 

mfanyabiashara mmoja alinambia kuwa biashara safi bila makandokando inawezekana lakini baada ya muda tu nikafunguliwa codes ni tapeli mafia.. Toka hapo Niliweka imani chache sana na hawa watu, SIRI YA MAFANIKIO KAMWE HAWAWEZI KUKUPA NA KAMA INGEWEZEKANIKA KUKUPA KIRAHISI BHASI ISINGEITWA SIRI
 
Walioajiriwa pia walipambana usiku na mchana kusoma ,kuvumilia magumu so hakuna tofauti. Mana na mfanyabiashara Kama yupo serious ndani ya miaka mitano unakuta analia kivulini. Sawa na msomi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…