Biashara Tanzania ni pasua kichwa. Ukiondolewa kwenye reli, kurudi na kukaa sawa si rahisi

Vinzuri = vizuri, aliunza = aliuza, fikilia = fikiria, kalibia = karibia. Mshua alikataa kukupeleka shule au wewe ndo ulikataa kusoma?
 
Labda mtaji ndo utasababisha wasiwe wengi
 
Mapambano yanaendelea, nimeipenda hii. Ni wachache wenye mioyo ya hivi.
 
Kuna familia ya wachaga naifahamu, ndugu yao alipata shida na benki wakataka kuuza nyumba. Ulipigwa mchango mbaka madogo wengine wa chuo walitoa, yule mzee alinasuka na sasa dealer mkubwa tu wa vinywaji .....kubebana ni talent nadhani, kabila zingine hizi mko wachache mbebane, mnarogana wote muwe chini. Aseeee
 
yes ni kabila chache wana mwamko wa kusaidiana,ila kabila zingine ukifirisika ndio wanafurahia ushuke wote muwe sawa
 
Vinzuri = vizuri, aliunza = aliuza, fikilia = fikiria, kalibia = karibia. Mshua alikataa kukupeleka shule au wewe ndo ulikataa kusoma?
Mama Samia
Kwa huo mda nilikuwa nasoma mbado,nipo 1st year ndugu
 

dah we jamaa mbona kama tunatembea kwenye boat moja.. maana plan hio ndio naifanyia kaz sasa hv..
 
hili la trend nakubali 100%

Watz wanaigana mnooo
 
dah we jamaa mbona kama tunatembea kwenye boat moja.. maana plan hio ndio naifanyia kaz sasa hv..
Hiyo ya kujenga nyumba pia ni biashara ila na yenyewe ina chagamoto zake kubwa pia, unajenga nyumba ya 20m, unakuasanya 150k kwa mwezi, hapa ni biashara au kuua mtaji, pia kuna kuchelewesha kulipwa na mpangaji, hiyo ni biashara ya wastaafu ili kuwatunza tu ila haina masilahi
 
Nyumba siyo kitu Cha kukuza pesa kibiashara, wengi tinaopanga kujenga nyumba za kupangisha ni kujiwekea uhakika wa pesa ya matumizi hasa chakula, maji,umeme na matibabu pindi ambapo huna kazi au umefikia umri wa kupumzikia, nyumba za kupangisha ni kitu kizuri sana iwapo mtu anaweza kuziweka town, zinalinda sana baadhi ya mahitaji muhimu nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…