Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Business is not for the weak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisaSema enzi zao nao walikuwa wapigaji balaa. Nguo Tsh 5000 China unakuja kuuziwa 30k dar. Kina Vunjabei wamepindua meza kibabe.
I like that.....ila sio weak kinguvu you need a strong mental to do bussiness here.Business is not for the weak
Hapo angechinja tu mkuuAfadhali hao Ndugu zako mitaji yao ilikuwa inapukutika kidogo kidogo, mimi rafiki yangu alienda kuchukua nguruwe 200 mbeya wenyewe thamani ya mil 50,kumbe homa ya nguruwe ilikuwa imeanza kuingia kimya kimya anafika dar anawaswaga zizini kesho yake asubuhi anakuta nguruwe zote zimekufa.
Napewa taarifa rafiki yako amepoteza fahamu yupo rabinisia baada kupata fahamu akasema mapambano yanaendelea[emoji1]
Kwenye kazi za kuajiriwa Boss wako anakukumbusha na kukusukuma uwe unawahi kazini mapema lakini unapokuwa na biashara yako masaa 24 inabidi kichwa kiwe kinawaza ubunifu mpya na wakati huo unawaza ubunifu kuna wapinzani wako pia hawalali wanabadili mbinu kila siku ili kukupiga gepu.Dah! Huu uzi kama unatutisha vile sisi wengine tuliokimbia kazi za kuajiriwa na kuingia kwenye biashara. All in all, nilichogundua, biashara inahitaji muda wote kichwa kiwe active.

Sahihi kabisa. Biashara inataka muda wote kichwa kiwe kinachaji. Ukikiacha kilale tu, basi lazima utashindwa mapema kabisa.Kwenye kazi za kuajiriwa Boss wako anakukumbusha na kukusukuma uwe unawahi kazini mapema lakini unapokuwa na biashara yako masaa 24 inabidi kichwa kiwe kinawaza ubunifu mpya na wakati huo unawaza ubunifu kuna wapinzani wako pia hawalali wanabadili mbinu kila siku ili kukupiga gepu.
Biashara ndio inataka hivi uipende,utafute na kubadilisha mbinu mpya kila wakati bila kusukumwa na mtu.
Ukianzisha biashara kisha ukawa umekaa unangoja wateja na pesa zije automatic hapo jua biashara imeshakushinda.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Wauza nguo ni wengi, hata maduka ya nguo ni mengiNdio maana unaona Fred kashagundua biashara imevamiwa kaamia kwenye Madawa ya Binadamu.
Dawa zitaendelea uzika ila faida ndo itashukaNa hata huko watamvamia tena. Sisi ni waigaji.
Aisee hii balaa
Daah nakuja basi piemu kuzichukua hizo siriBiahsra nazo Ni Siri Sana Kuna biashara nafanya hapa ila duh Kweli najiuukiza HV nikiiuliawa nimetoa wapi mtaji nitasema nn ,mnk mtaji hauendani kbsa na duka
Anyway biashra nyingi Ni Siri na mm Nina Siri fln siwezi kuweka hadharani snaaa
Wanafukiza ubani kila asubuhi. Wabongo badala ya kuombea biashara kila siku tunawekeza kwenye kula tunda kimasihala tunaondoka na mikosi.Wote mnaongea ila hutakaa uone makanjibai na warabu humu wanalia biashara imefilisika..
Nadhani kuna sehemu tuna kosea wasfrica sie..
[emoji24] atakuwa sio mfanyabiasharaHapo angechinja tu mkuu
Bonge la Uzi.Uzi huu ni mfupi lkn umebeba kitu Muhimu sana kwa Wafanyabiashara wetu.Jamani wafanya biashara wenzangu nilicho gundua hapa nchini kila siku mambo hubadilika katika biashara na soko.
Kuna marafiki zangu wawili walipata setback kwenye biashara zao moja alikua na mtaji kati ya 70-80m masuala ya ndoa ya kugawana mali na mke akamuondoa kwenye leri ya biashara mgine alikua ana capital base150-200m aliondolewa kwenye leri ya biashara kwa sera mbovu za uchumi za jpm 2016 Ni lidhani baada ya mda mfupi mwaka au miaka miwili watarudi lerini lakini wapi.
Leo ni meenda kuwajulia hali zao kumbe mambo bado wana jikongoja hawajarudi full kwenye biashara moja gari hana anatumia daladala mgine anatumia gari number 'A' kaipata kwa milioni 6 baada yakuuza harrier tako la nyani aongezee kwenye mtaji wake ilio bakia ndo kanunua hiyo no A.
Jamani kama una mtaji wako utunze kwa makini usiigii kwenye biashara usio jua na huna wakika nao mtaji ukikata kurudusha sio rahisi. Mambo ya meshabadilika sio kama zamani.
Yaani wee acha tu.Palikuwa na madon ila walipigwa na upepo mpaka wakapotea .
Tulikuwa na mzee mmoja wa kisambaa anaitwa "Mswaki " alisumbua sana miaka hyo alikuwa na nyumba kadhaa ..Alipotaka kufanya leverage kweny biashar zake maana alikuwa mtu wa mafuso kubeba bidhaa kama matunda hata dili za ngozi.
Alichukua pesa kibao bank kwa riba ya juu ,duh! mambo yakabuma alipotea kabisa aliuza nyuma zilikuwa kama nne akabakiwa na moja na zile fuso ndo zilimtia hasara maana zilipiga mzinga na mzigo ukapotea uliharibika na dereva wake alikufa .
palitokea series za ajali ya magari yake kama ma3 yakiwa na mzigo mpaka mzee alizirai..
Bahati nzuri ni mkewe alipambana nae ila sasa yupo vizuri zaidi ya miaka 20 nyuma .
Walikuwepo wakina Hussen pambakali sasa kimya ,kuvimba kwa zamu.
Biashara sio rahisi kama watu wanavyofikria tulishalima na mzee tukishirikiana na bibi sehemu moja iniatwa Mbugani- mkomazi ,heka kama 6 zilipigwa na maji yalikuja mafuriko mpaka shangazi yangu alikata moto (alizimia)
Ila ndo hivyo maisha yanasonga.
Duh pole sana,vipi madeni ya benki alimaliza?na je baada ya hapo aliendelea tena na hiyo biashara au ameachana nayo kabisaDaaaah Wakuu ,sitaki kukumbuka ila haina jinsi ku share na kunikumbusha mbali japo sio mbali sana,2016 kipindi cha mwenda zake,yupo kwenye high peak ,Mshua bhana alijilupua kwa kuchukua mkopo au hela za watu Bank ,kwa ajili ya kuzungulishia kwenye biashara zake za mafuta,HFO au kwa lugha ya malkia Heavy Fuel oils, ni mafuta ambayo yanatumika viwandani kwenye ma Boiler, alinunua HFO zipato litre 150,000 kwa ajili ya masoko yake nche ya nchi ya Kenya.
Akafanya biashara na mkenya baada ya kuja yard na kuukagua mzigo na kuona mnzurii sana,akalipa advance nyingine mpka mzigo ufike ndio atalipia kwa njia ya bank,..Mshua akatafuta semi tatu za kukodi Tanker,na unzuri Mshua alikuwa na Mende mbili Scania pulling na trailer zake ,vyuma vikapakia mafuta yrd,vikatoka Dar es salaam vinzuri tu mpaka boarder ya Namanga, Changamoto ndio ikaanzia hapo bhana,tumeonyesha documents na vibali vyote vya mzigo,wale majamaa ya wanaohusika kuvusha magari upande wa Kenya ,
wakawa wanakaza ,wakawa wasema mambo ambayo sisi tulijua wanataka chochote kitu lakini wapii ,wanasema mmbo yamebadilika kutokana na mfumo wa Sera za nchi,Tukawa wapole tukaona ngoja tuvumulie pale mpakani Namanga mambo yanawenza kuubadilika lakini wapii,tulikaa kalibia miezi miwili tukaona mambo yamekuwa sio mambo,
fikilia gharama za kupark na ulinzi wa magari,plus madereva ma turn boy ,escorter wa mzigo ,mkenya naye anataka aludishiwe hela yake ,Bank nayo hawaelewi wanataka marejesho yao ilikuwa Mshua anapitia kwenye kipindi kigumu sana mpaka ikafikia sukari kupanda na presure juu, Ila tunamshukuru Mungu alirudi kukaa sawa ,japo sio kama mwanzo ku recover ni ngumu mno,Aliunza baadhi za nyumba,mzigo bei ya hasara na magari pia ili ikawe sawa,
Biashara kipindi cha mwenda zake hususani ya nje ilikua risky sana, wengi tulihamisha mitaji au kubadili biashara ambazo ni less risky kama real estate guests na parks biashara ya Tanzania ni unpredictable sana usiweke mtaji wote sehemu moja.Daaaah Wakuu ,sitaki kukumbuka ila haina jinsi ku share na kunikumbusha mbali japo sio mbali sana,2016 kipindi cha mwenda zake,yupo kwenye high peak ,Mshua bhana alijilupua kwa kuchukua mkopo au hela za watu Bank ,kwa ajili ya kuzungulishia kwenye biashara zake za mafuta,HFO au kwa lugha ya malkia Heavy Fuel oils, ni mafuta ambayo yanatumika viwandani kwenye ma Boiler, alinunua HFO zipato litre 150,000 kwa ajili ya masoko yake nche ya nchi ya Kenya.