Biashara Tanzania ni pasua kichwa. Ukiondolewa kwenye reli, kurudi na kukaa sawa si rahisi

Biashara Tanzania ni pasua kichwa. Ukiondolewa kwenye reli, kurudi na kukaa sawa si rahisi

Jamani wafanya biashara wenzangu nilicho gundua hapa nchini kila siku mambo hubadilika katika biashara na soko.

Kuna marafiki zangu wawili walipata setback kwenye biashara zao moja alikua na mtaji kati ya 70-80m masuala ya ndoa ya kugawana mali na mke akamuondoa kwenye leri ya biashara mgine alikua ana capital base150-200m aliondolewa kwenye leri ya biashara kwa sera mbovu za uchumi za jpm 2016 Ni lidhani baada ya mda mfupi mwaka au miaka miwili watarudi lerini lakini wapi.

Leo ni meenda kuwajulia hali zao kumbe mambo bado wana jikongoja hawajarudi full kwenye biashara moja gari hana anatumia daladala mgine anatumia gari number 'A' kaipata kwa milioni 6 baada yakuuza harrier tako la nyani aongezee kwenye mtaji wake ilio bakia ndo kanunua hiyo no A.

Jamani kama una mtaji wako utunze kwa makini usiigii kwenye biashara usio jua na huna wakika nao mtaji ukikata kurudusha sio rahisi. Mambo ya meshabadilika sio kama zamani.
Wote mnaongea ila hutakaa uone makanjibai na warabu humu wanalia biashara imefilisika..

Nadhani kuna sehemu tuna kosea wasfrica sie..
 
Wote mnaongea ila hutakaa uone makanjibai na warabu humu wanalia biashara imefilisika..

Nadhani kuna sehemu tuna kosea wasfrica sie..
Sio kweli na waarabu wanafilisika, unakumbuka bus za muhammad trans alikua muarabu wa shinyanga zote zimepukutika, tena ndo alikua anaongoza kwenye kua na basi.
 
Sio kweli na waarabu wanafilisika, unakumbuka bus za muhammad trans alikua muarabu wa shinyanga zote zimepukutika, tena ndo alikua anaongoza kwenye kua na basi.

Muhamed trans hajafilisika.. mpaka leo bado ni tajiri..

Waarabu huwa wanabadilisha biashara. Kama sumry alivyoua ma bus na kwenda kwenye large scale agliculture.

Mohammed trans mpaka leo wana malori kibao. Na sheli wanazo za kutosha tu
 
Sio kweli na waarabu wanafilisika, unakumbuka bus za muhammad trans alikua muarabu wa shinyanga zote zimepukutika, tena ndo alikua anaongoza kwenye kua na basi.
no research no right to speak, HOOD yuko wapi, ISLAM, SADIQ LINE je? wote waarabu hao. SUMRY wa Sumbawabga siyo mwarabu? binadamu ni binadamu tu chochote chaweza kumtokea
 
Muhamed trans hajafilisika.. mpaka leo bado ni tajiri..

Waarabu huwa wanabadilisha biashara. Kama sumry alivyoua ma bus na kwenda kwenye large scale agliculture.

Mohammed trans mpaka leo wana malori kibao. Na sheli wanazo za kutosha tu
acha kujifanya mjuaji, huna uhakika na unayoyaongea. Vile vile jiamini km binadamu mweusi wenzako wanafichiana siri, ukweli wanafikisika
 
Biahsra nazo Ni Siri Sana Kuna biashara nafanya hapa ila duh Kweli najiuukiza HV nikiiuliawa nimetoa wapi mtaji nitasema nn ,mnk mtaji hauendani kbsa na duka

Anyway biashra nyingi Ni Siri na mm Nina Siri fln siwezi kuweka hadharani snaaa
Nakusihii endelea kutunza siri ya biashara yako kama Jacob alivyofanya wakati akiwa kwa mjomba wake Labani

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ulishawahi kupitia hiyo hali au unatoa tu ushauri kwa kutumia uzoefu wako?
Naongelea uzoefu wangu sio kuhadithiwa. Mwaka 2012 nilianguka mazima hadi nikahama mkoa kwa aibu nikaja Dar na kuanza upya. 2013 & 14 nilikuwa naamka asbh naenda Kkoo bila kujua naenda kufanya nini ila Mungu alikuwa hanitupi. Mwaka 2018 sikuanguka kabisa ila niliyumba sana karibia kuanguka nikaja kupata unafuu 2020 ndo hadi leo napambana. Hii 2018 nilikosea sana kuchukua mikopo kupooza huku kumbe naharibu kule.
 
Palikuwa na madon ila walipigwa na upepo mpaka wakapotea .

Tulikuwa na mzee mmoja wa kisambaa anaitwa "Mswaki " alisumbua sana miaka hyo alikuwa na nyumba kadhaa ..Alipotaka kufanya leverage kweny biashar zake maana alikuwa mtu wa mafuso kubeba bidhaa kama matunda hata dili za ngozi.

Alichukua pesa kibao bank kwa riba ya juu ,duh! mambo yakabuma alipotea kabisa aliuza nyuma zilikuwa kama nne akabakiwa na moja na zile fuso ndo zilimtia hasara maana zilipiga mzinga na mzigo ukapotea uliharibika na dereva wake alikufa .

palitokea series za ajali ya magari yake kama ma3 yakiwa na mzigo mpaka mzee alizirai..

Bahati nzuri ni mkewe alipambana nae ila sasa yupo vizuri zaidi ya miaka 20 nyuma .

Walikuwepo wakina Hussen pambakali sasa kimya ,kuvimba kwa zamu.

Biashara sio rahisi kama watu wanavyofikria tulishalima na mzee tukishirikiana na bibi sehemu moja iniatwa Mbugani- mkomazi ,heka kama 6 zilipigwa na maji yalikuja mafuriko mpaka shangazi yangu alikata moto (alizimia)

Ila ndo hivyo maisha yanasonga.
Hussein Pambakali si yuko Tegeta?
 
no research no right to speak, HOOD yuko wapi, ISLAM, SADIQ LINE je? wote waarabu hao. SUMRY wa Sumbawabga siyo mwarabu? binadamu ni binadamu tu chochote chaweza kumtokea
Wabongo mkiona mtu amefanya reshuffle ya biashara mnasema kafirisika, Sumry kafirisika lini?
Mfano Mohamed Trans alifirisikaje wakati alikufa mali wakagawana familia sasa mitoto imeleta ubishi kuendesha biashara ikashindwa ikapiga bei mabasi na miundombinu yake na kuhamia mambo mengine. Hapo founder kafirisika?

Kwa mtazamo huu mtasema Siemens walifirisika kisa walikuwa wanatoa simu ila hawatoi siku hizi, wao waliona simu ni vitu kila mwaka unaumiza kichwa utoe products mpya wakaamua wakomae na mitambo ya energy kama gas turbines na mifumo mikubwa ya umeme duniani.
Kuna watu biashara ikileta changamoto wanahamia kwingine, au profitability ikipungua au threats of new intrants au akifika threshold fulani anaona kukua hakupo tena anahamia kwingine au utaalamu ukipungua labda alikuwa ni mhasibu ila uzoefu wa miaka 30 anaona kwa sasa vijana wanakuja na mambo ya computerized accounting yanamchanganya na hawezi kuwa master tena anabadili service kutoka kuwa mhasibu na kuwa agent. Au mtu kuanzia miaka ya 90 alipata hela sana kwenye clearing & forwarding alikuwa giant ila siku hizi anaona imevamiwa anahamia kwenye betting.

Kuna watu hawakazi kichwa kwenye biashara fulani tu, akisoma mchezo anahama. Badala yake kuna wengine wanakomaa anakopa anafanya ili na lile biashara hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom